Habari kwako msomaji
Moja kwa Moja kwenye msaada, Kuna series Fulani ya kikorea ambayo niliifuatilia miaka kati ya 2017/19, ni ya kijeshi.
Mwanzo ni mwanaume aliyekuwa akisafirishwa ndani ya treni na wanajeshi ambapo pia alikuwa nimtoto wa kiongozi jeshini alikuwa amevalia mavazi ya kawaida...