Recent content by DOCTOR OF HOUSE

  1. DOCTOR OF HOUSE

    Machozi! Kwanini mmemchinja mama yangu?

    Pole Sana dogo hasa ktk kipind hiki kigum cha kupotelewa na mama yako kipenz najua unauchungu Sana kuhus hilo lkn hata sisi tunauchungu Sana lkn tunaamin kua maandiko yatafanya kaz kua atakae ua kwa upanga nae atauliwa kwa upanga mwenyez mungu ampunguzie adhab ya kabur mama yako kipenz Amina.
  2. DOCTOR OF HOUSE

    Ni mbinu gani nitumie kulipa haya Madeni?

    Muelezo maref Sana sema nn dawa ya den ni kifo Kama vip jinyonge
  3. DOCTOR OF HOUSE

    Vijiwe vya kufuturisha vimepotelewa wapi,siyo kama zamani.

    Waleykum muislam nikwel tulizoea kuona hilo but sijaliona kwa leo lkn nadhan mbali na uchum Kubana lkn bado mapema Sana nafikir watafanya hivyo mana sidhan kwamba kumtolea mungu kunaangalia kipato noo
  4. DOCTOR OF HOUSE

    Akimbiwa na mkewe kwa ajili ya umasikini, ashinda jack pot milioni 20 Kenya money

    Duu hongera yake Nami ipo siku nitapiga ela kama huyo jamaa wa Kenya
  5. DOCTOR OF HOUSE

    Naibu waziri wa ulinzi, IGP na Mkuu wa Jeshi Mwamunyange wafika palipotokea mauaji Amboni

    Tunaiomba mahakama iwe inatupa taarifa mara tuu watuhumiwa Hao wamauaji wanapopelekwa mahakaman had hukum zao ziwe waz nafikir hiyo itapunguza machungu kwa wafiwa Kwan matukio kama hayo Hua yanaumiza Sana
  6. DOCTOR OF HOUSE

    Mwisho wa kulipia daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Kuchangia garama sio tatizo ila tatizo ni kwamba tozo zao ziko juu Sana mpaka nawaza kua kweli waliangalia kipato cha manzanita wa Chini au wa juuu?
  7. DOCTOR OF HOUSE

    Mtumbwi chazama Kigamboni, Watu watano wamefariki

    Hapanaa ndugu kweli yani upotelewe na ndugu yako baharin useme unasubir masaa 48 kwan ataelea umuopoe labda kama ulikua una muombea kifo
  8. DOCTOR OF HOUSE

    Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

    Inalihah rajiun hakika kila nafs itaonja umaut hata hao wau waji watakufa pia
  9. DOCTOR OF HOUSE

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kaka hakika Hakuna mganga wa kweli labda dakitar but isnot wich doctor
  10. DOCTOR OF HOUSE

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Si hilo La kutaka kujua kua wapaa vip angan na ungo wakat hauna tair wa bawa?
  11. DOCTOR OF HOUSE

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Sasa mbona unajib kimakonde sasa nitakuelewa vip?
  12. DOCTOR OF HOUSE

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hivi hua najiuliza kua wanatumia teklogia gan waweze kupaa angan?
  13. DOCTOR OF HOUSE

    Wafanyakazi Uda-Rt wanaiibia Serikali

    Sidhan kama hilo la wiz kwa risiti zilixo tumika linawezekana labda watengeneze zakwao mana wabongo kwa kukopi. Mchina kasingiziwa.
Back
Top Bottom