Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,639
- 29,512
Hawa jamaa wa mabasi hayo wana mtindo unapotoka getini wanakuambia uache risiti pale sasa kinachotokea ni kwamba wanazirudisha dirishani kisha inauzwa tena. Hili nmelishuhudia kwa macho yangu nkawaambia nkaishia kukoromewa. Tusijikoseshe mapato tafadhali dai risiti ya kutokea kwenye mashine sio aitoe mfukoni