Recent content by Doctor MD

  1. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Saratani ya kibofu Cha mkojo(bladder cancer)

    Ni kujaa typing error
  2. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Saratani ya kibofu Cha mkojo(bladder cancer)

    Jinsia ya kiume ndo ipo hatarini zaidi kama nilivyotoa maelekezo na wewe kama ulivyoongeza shukurani
  3. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Saratani ya kibofu Cha mkojo(bladder cancer)

    Moja ya saratani isiyozungumzwa na wengi ila huwakumba wagonjwa wengi sehemu mbalimbali za Tanzania haswa Kanda ya ziwa. Watu walioko kwenye hatari ya kupata saratani ya kibofu Cha mkojo. 1. Wavutaji sigara. Kwa wanaovuta sigara wako hatarini mara 3 Hadi mara 4 ya wasiovuta katika kupata...
  4. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Saratani ya tezi dume(prostate cancer) ugonjwa hatari zaidi kwa wanaume usiochukuliwa hatua zaidi

    Hakuna sababu ya moja kwa moja inayosababisha saratani ila saratani ya tezi dume huwakumba zaidi watu wenye umri wa miaka zaidi ya 50, watu wenye rangi nyeusi zaidi, watu wenye vina Saba ambao mzazi wake wa kiume aliwahi kuugua(hii changamoto ni kwamba wengi hufa bila kujua) hata pia lifestyle...
  5. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Saratani ya tezi dume(prostate cancer) ugonjwa hatari zaidi kwa wanaume usiochukuliwa hatua zaidi

    Saratani ya tezi dume ni ugonjwa ambao huwakumba wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50. Japo Kuna baadhi ya wagonjwa huwa chini ya umri huo(nadra). Na hii ndio saratani inayoongoza kwa kuwakumba wanaume wengi. Ugonjwa huu huu huchanganywa sana kwa upande wa dalili na matibabu na ugonjwa wa...
  6. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia vipimo kisha nikaambiwa nilipie tena kupewa majibu katika Hospitali ya Rufaa ya Tumbi - Kibaha

    Huo ni utaratbu wa hospital zote mcha msingi tafuta bima ya afya itakusaidia zaidi mana ukiendelea kulalamika bila kuharakisha matibabu yako haisaidii
  7. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Muda wa kurejea kupima H-PYLORI

    Ukisoma maelekezo yangu utaelewa wapi kwenye makosa panapotakiwa kurekebisha
  8. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Muda wa kurejea kupima H-PYLORI

    Mbona hujamaliza dozi Mana ilipaswa utumie kwa siku 14 kisha uendelee na pantoprazole kwa mwezi mzima Baada ya kumaliza pantoprazole unakata week 2 ili ukapime tena
  9. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa yangu ni kikojozi

    Nashauri akutane na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo amchunguze kwa undani na kama huna unayemfahamu njoo dm nikupe maelekezo zaidi
  10. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kuhisi kama kuna kitu kizito kifuani upande wa kushoto

    Fika hospital mapema na kama upo dar ongea tukupe maelekezo ya wapi utapata msaada kirahisi
  11. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

    Hebu mtu asome hapo aelewe shida ya ugumba haionyeshwi kupitia computer huyo aliwapiga pesa
  12. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

    Mambo ni 🔥
Back
Top Bottom