Recent content by Doctor Makunga

  1. D

    Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

    ni kweli kabisa hata mimi nimeitumia sana hii nawawekea hata wale wa nje hivi sasa shwari kabisa.Hii dawa wanapokula inakwenda kuyeyusha mifupa kemikali zake zinapocombine na mifupa ya panya
  2. D

    Hii ni aina gani ya nyoka?

    wana sumu ,ukitaka kujua angalia kwenye kichwa kama unaona kuna mashavu chini ya mdomo huyo ana sumu sio wa kumchezea
  3. D

    SADC CHINI YA TANZANIA TUPIGANIE KUONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA

    Tanzania tumekabidhiwa kuongoza SADC kwa mwaka mmoja ambapo Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa SADC,huku Prof Palamagamba Kabudi akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa SADC na Dkt Faraji Kasidi akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Makatibu Wakuu wa...
  4. D

    ATCL waanzishe safari za kwenda kisiwa cha Mafia

    Ushauri kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuanzisha safari za kwenda kisiwa cha Mafia. Kisiwa cha Mafia kina uwanja wa ndege ambao una uwezo wa kupokea ndege aina ya Fokker Friendship ambayo ATCL wanayo.Hivi sasa ndege zinazokwenda Mafia ni ndogo ambazo zinabeba abiria wachache na gharama...
  5. D

    Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

    Ni kweli Rais Magufuli ana upendo na katika ziara zake maeneo yote hapa nchini hawezi kupita na kukuta watu wamekusanyika alafu asisimame, ni lazima atasimama na kuzungumza na hao wananchi. Wananchi watamweleza shida zao na yeye anazitatua hapo hapo,tumeshuhudia baadhi ya maeneo amekuwa...
  6. D

    Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

    tafuta mahojiano aliyoyafanya kwa kiswahili baada ya yale ya kiingereza tafuta kwenye youtube utasikia
  7. D

    Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

    katika mahojiano ya kiswahili hivi karibuni na BBC,Prof Kabudi ameeleza Azory ametoweka hakusema amekufa na latest information ndiyo yenye kuweka clear taarifa yenye mgogoro
  8. D

    Prof Kabudi anafanya kazi nzuri suala la interview haliwezi kumdiscredit

    Profesa Kabudi anafanya kazi nzuri,ni mmoja wa mawaziri wanaofanya kazi zao kwa weledi na ufanisi mkubwa,jambo moja haliwezi kummfanya Profesa Kabudi aonekane kashindwa kazi wakati mambo mengi makubwa kwa nchi ameyafanya na anaendelea kuyafanya. Kwa mfano Prof Kabudi ndiye aliyeandesha...
  9. D

    Wizara ya mambo ya nje inapiga kazi nzuri

    Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inafanya kazi nzuri katika kukuza uchumi wa Taifa hili na maendeleo ya jamii.Huko nyuma tulizoea kuona wizara ya mambo ya nje ni ya kuwakilisha kwenye mikutano mbalimbali ya nje ya nchi lakini sasa mwelekeo umebadilika.Wizara kupitia...
Back
Top Bottom