Recent content by Dobi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

    Ni kweli Maji yana mwagika mengi sana mpaka yanaleta maafa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    Unamtakia nini? Yuko zake kampumzika unamchokonoa Mwacheni kiumbe wa Mungu apumzike wakati akisubiri kazi nyingine
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Kwani CDm ni kampong binafsi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Imefika Mahali kama Taifa tunakuwa hivi? Yaani Mbowe mmoja akikohoa Nchi inatetemeka?

    Hivi Mbowe atastaafu lini uenyekiti? Fikra zake zimefika mwisho, Chadema hivi ilivyo ni kwa sababu mwenye kiti uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho Tunataka mwenyekiti mpya Mwenye mawazo mapya
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

    Yaani nimecheka kwa Sauti Majira haya Mkuu Acha utabi
  6. D

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Mbowe atamtoa meno endeleeni kumtia ujinga, sio lazima agombee uraisi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

    Naona chadema wanaushambulia huu uzi kuliko kawaida
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

    Chuki zako kwa nyerere hazita kusaidia
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hawa wake za viongozi waliotoa msaada Hanang ni taasisi? Imesajiliwa lini na chanzo chake cha mapato ni kipi?

    Swali na kijinga kabisa mwishoni mwa mwaka
  10. D

    JamiiForums Tanzania Prof Assad: Viongozi wetu wamefanana na Hadith ya Babu Paka ambaye alijifanya ni Mwema kumbe ni Ulaghai wa kuwatafuna Panya Kimya Kimya!

    Mungu zidi kuibariki inchi yangu Viongozi wake na watu wake Kila Kilicho kinyume na nchi yangu na viongozi wa serikali, Mungu kiharibu na kukitupilia mbali Amen
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa shule kama huyu ni adui kwa demokrasia Tanzania

    Bado upo
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Trafiki wote nchi nzima wapangiwa majukumu mengine. Maamuzi magumu sana

    Sio kila kitu cha kuiga
Back
Top Bottom