Recent content by dnjoki

  1. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Huyu ni mavi kabisa.
  2. dnjoki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Siyo mtaalam wa kula tunda kimasihara.
  3. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Dada wa mjini...

    Now this is ISO certified.
  4. dnjoki

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

    Kituko cha karne,mambo ya 1979 kwa 2021......yaani hatujui hata kama kuna maji ya kutosha kufanya mradi uwe endelevu,alafu tunaweka Trillions????? [emoji1544]
  5. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niweze kumudu kukata kona?

    Mambo ya garage na kukata kona wapi na wapi?Nenda kazikate kona huko na ukisha gongana huko ndiyo uje na posts na thread humu.
  6. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Tusahau janga la Corona tuendelee kujadili kuvunjwa kwa jiji la Dar?

    Tushapigwa kekundu hapo, upepo huuuooooo!!!!Lige goes on,bizniz as usual!!!
  7. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Kwanini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imevunjwa?

    Kwahiyo?
  8. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Nimejambiwa live na wachawi leo

    Mkuu,maskhara hayo mkuu.....kunusana tena!!!!Ayseee,au ndiyo ile design ya "kula tunda kimasihara" mkuu???!!!!Maana mna maskhara sana na mwenzi wako!!!!
  9. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    Wewe ni mwongo sana,ni muongo na mtu mlaghai sana.Acha hiyo tabia,inaharibu familia,jamii inayo kuzunguka na taifa kwa ujumla.Pumbafff wewe,hivi ni'nani alikitaka kichwa cha Yohanne m'batizaji?
  10. dnjoki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

    Kiongozi naomba niende nje ya mada maana concern yangu ni: Umepost mistari miwili yenye maswali mawili tu,lakini likes kwako ni nyingi kuzidi za mwandishi/muanzisha uzi!!!Kwakweli you are "The Boss" [emoji119]
  11. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Wateule wachemsha Kilimanjaro Festival, wamuangusha Jay Moe

    Binafsi huwa ninanunua,hata tape albam ya Jay Mo' ya "Ulimwengu ndiyo mama" nilinunua back then.
  12. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Wateule wachemsha Kilimanjaro Festival, wamuangusha Jay Moe

    Kwa WATEULE,mwanamuziki na msanii pekee na kipaji ni Jay Mo tu.Hao wengine waliobakia ni Wasanii tu na walijikita huko kwakuwa hawakua na shughuli ingine ya msingi ya kufanya.
  13. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

    Faza we baki na kazi za mwezini tu, huko mbinguni kazi zinepungua idadi maana hatanamba moko wetu hapa jamhurini keshaziwahi mbili chap.....kachagua kabisa kama siyo kupiga deki basi kuongoza malaika!!!
  14. dnjoki

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Pascal Mayalla, Hakika maisha bila ya unafki. aaah,yangeboaga sana!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom