Recent content by Dnashon

  1. D

    JamiiForums Tanzania Musoma wachangishwa fedha za chakula kwa wanafunzi

    Chakula SI ada ya shule, mzazi yeyote hata sita kumtolea mwanae sh.10,000 kwa mwezi kwa ajili ya chakula. 330 tsh everyday nikiwango kidogo Sana kwa mwanafunzi Kula kwa siku sawa na bureeeee. Hapa DSM mzazi umpatia at least sh 2500 mwanae Kila siku ya nauli na mihogo, mbona hawalalamiki.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tangazo la Serikali kuhamia Dodoma, natabiri haya..

    Viwanja kupanda bei Dodoma,
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

    Don't be silly, Wolper what for? We need people with strong political maturity not entertainers.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

    Acha mbwembwe mpinzani Wako hawezi kukuombea mema...chadema muwe makini!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Ndugu wanajukwaa naisikiliza kwa makini hotuba ya Mwenyekiti anaeng'atuka ambayo imejaa experience ya uongozi ndani ya chama. Kulingana na hotuba hii ni dhahiri kwamba JK anatembea kifua mbele kwa kuwa mwenyekiti mwenye sifa kamili za kukiongoza chama hiki kikongwe nchini.Mwenyekiti mtarajiwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Mbowe wapongezwa kwa kuwabana BAVICHA

    Wamemsifia Rais kwa utendaji kazi wake hasa hatua anazo zichukuwa za kupambana na ufisadi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Mbowe wapongezwa kwa kuwabana BAVICHA

    Kumsifia Rais kwa utendajiwake Ni jambo la hekima na busara kubwa. Si rahisi kwa wapinzani kufanya hili jambo. Hongereni Sana, dhana kuwa wapinzani kazi Yao Ni kupinga Kila kitu kweni imekuwa tofauti. Hongereni sana ======= LOWASSA NA MBOWE WAPONGEZWA KUWABANA BAVICHA DODOMA - Viongozi wa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa baraza la wazee CHADEMA ampongeza Magufuli

    Wazee Wa CHADEMA wampegeza Rais Magufuli kwa utendajikazi hasa kwa juhudi zake za kupambana na ufisadi. Pia wazee wamemtaka Rais kukamilisha mchakato Wa katiba. Pungezi nyingi kweni, hii inaonesha ukomavu kisiasa na kuepuka dhana kuwa wapinzani kazi Yao nikupinga Kila jambo. Hongereni Sana...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Vijana wapenda CHADEMA tafadhali msije mkayafanya haya!

    Ndugu zangu wapenda haki na demokrasia ya kweli nidhahili pasipo shaka Serikali imekuwa ikotoa matamko kupitia viongozi wake WA ngazi mbalimbali, baadhi ya kauli zimekuwa zikitafasiliwa wazi kuwa zinakandamiza Uhuru wa siasa za vyama vingi hasa vyama pinzani. Bila kumumunya maneno jeshi la...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Nae pia kilaza.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Rais kanishitua Ila mwisho kamalizia vizuri' ndalichako anapitia hayo majina, waliofahulu kwa division one and two tutawatafutia vio vya kusoma" mjomba usihofu, subiri mtapewa taarifa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni ndoto za mchana chama tawala kubadili Katiba

    Kukandamizwa kwa demokrasia nchini ni matokeo ya katiba mbovu. Hili taifa liweze kusonga mbele linahitaji kuwa na katiba bora inayompatia fursa mwananchi wa chini kuweza kusimama na kupigania haki bila kuhofia makucha ya wakandaminazi. Katiba mbovu tulionayo sasa imekuwa faida kubwa kwa chama...
  13. D

    JamiiForums Tanzania What's our national motto?

    Train your mind to think positively. What your fingers type reflects your thinking capacity. I
  14. D

    JamiiForums Tanzania What's our national motto?

    Do we have a national motto? Anyone who knows it, please help me out. USA have their national motto ' In God we trust'.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Alicho kifanya aliekuwa waziri wa mambo ya ndani kuingia bungeni na kujibu maswali ya wizara akiwa amelewa ni fedhea kwa Taifa letu. Leo hii tunapambana na madereva walevi sasa ni mawaziri walevi..nini hasa kimemsibu huyu Kitwanga hadi kudhalilisha taifa, hata kama Una power kiasi gani basi weka...
Back
Top Bottom