Ni ndoto za mchana chama tawala kubadili Katiba

Dnashon

Member
Feb 19, 2016
58
33
Kukandamizwa kwa demokrasia nchini ni matokeo ya katiba mbovu. Hili taifa liweze kusonga mbele linahitaji kuwa na katiba bora inayompatia fursa mwananchi wa chini kuweza kusimama na kupigania haki bila kuhofia makucha ya wakandaminazi.

Katiba mbovu tulionayo sasa imekuwa faida kubwa kwa chama tawala kiasi kushindwa kusimamia mchakato wa katiba iliyotokana na michango ya wananchi. Kama kweli tunahitaji maendeleo chanya ya taifa letu, tunahitaji katiba ya nchi yenye meno ya kuwabana watawala kwa masirahi mapana ya taifa letu.

Swali, je chama tawala wako tayari kwa hilo?
 
Back
Top Bottom