Recent content by dmsuya

  1. D

    Kumbukizi: Arthur afungiwa Mechi sita baada ya kumtemea mate Mchezaji mwenzake

    huko ni uingereza kwenye TFF adhabu hii ipo? simba acheni kuisukuma TFF
  2. D

    Kuhusu kitendo alichokifanya Kelvin Yondani dhidi ya Asante Kwasi

    aliumwa chelini sikio na suarez itakuwa kutemewa mate. ya nyoso mmeyasahau
  3. D

    Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

    Sijui wanasema" sardines"
  4. D

    TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

    Marehemu atakumbukwa kwa mengi. Huko huko Jkt Ruvu siku tumekwenda kulinda mahindi. Si tunachukia debe la kuchemshia mahindi tukifika tunatayarisha moto, maji jikoni, kukwanyua mahindi mti wa mhindi unabaki wima. Wakati huo kuna patrol njia zote asije tokea kamanda tukapigwa taiti. Siku ya kufa...
  5. D

    TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

    Kuna rafiki yangu mmoja aliiba mayai Ruvu JKT OPERESHENI TUJISAHIHISHE sasa akipita eneo la admin Kamanda marehemu Mlay akamwona. Akamwita akamwambia lala chini vingirika yale mayai yakavunjika combat yote upande wa chini ikalowa akamwambia nenda. Alikuja kule kombaini B yuko hoi kutueleza...
  6. D

    Habib kiyombo anawatakia heri ya mwaka mpya

    Green Warriors inawatakia salamu ya mwaka jana
  7. D

    Kiwanja chenye msingi kinauzwa 6.5m

    Kwa bei hi 20*20 utasubiri sana. Mzunguko baba wa hela mgumu
  8. D

    Mo Dewji ameonyesha sura yake halisi,wanasimba tutarajie u-Dictator Mo akishakabidhiwa Hisa

    Hiyo inaitwa B2B hakuna masihara. If you can work resign and let others take control seat.
  9. D

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi nguzo za umeme ni shida? Nimeomba kubadilishiwa nguzo ya umeme toka May 2017 leo Dec 2017 naambiwa nguzo hakuna. Iliyopo imeoza nimeripoti kwa meneja Tabata mpaka imekuwa kero nifanyeje? Na iliyopo ikianguka nini kitatokea kwenye kibanda changu?
  10. D

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi naulizia miezi minne nguzo yetu imeoza inakaribia kuanguka nikipiga Tanesco naambiwa hamna nguzo hivi ni kweli?
  11. D

    Utabiri wangu ligi kuu ya VPL

    Naogopa msije kukimbilia FIFA. Hivi mlijibiwa nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Tuliosoma st kayumba tutiririke jambo lolote kwa kiingereza chetu kibovu,usitumie kiswahili

    Mzungu alifiwa na mwanae sasa kazi ikawa kumpa pole kwa kufiwa mmm iam sorry
  13. D

    Baada ya kufumaniwa✔

    Anakuchinjia kuku huyo si mmeoa nyumba moja
  14. D

    Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

    kwani imeishaje? maana kwetu TV zilizima ghafla zijui luku aaah uswazi bwana
  15. D

    Wimbi la Watanzani Kuongea pekee yao barabarani linakuwa kwa kasi

    Wanakariri namba kwa Kirumi kiswahili walishamaliza
Back
Top Bottom