Baada ya kufumaniwa✔

Baada ya kufumaniwa✔

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,724
Jamaa yangu kanitumia meseji hii sasa hivi:
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali, sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku.

WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!...
emoji125.png

Akikutumia nyingine ni tang
 
Hongera,na akianza kutafuta mafuta ya kuungia endelea kumsifu kwa roho nzuri.
 
Back
Top Bottom