Recent content by Dkt Kilembwe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lengo la Zitto na ACT Wazalendo lilitimia?

    Subirini Mwalimu Kaijage aje mpambane
  2. D

    JamiiForums Tanzania Lengo la Zitto na ACT Wazalendo lilitimia?

    Kuna watu wanachangia utumbo humu???
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

    Lowassa anaweza kuchunga ng'ombe tu na sio Urais wa nchi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

    Sumaye ni Jipu tu;inatakiwa Rais Dr.Magufuli alitumbue
  5. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

    Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe na Mbunge Moses Machali wamefunika kwa umati Mkubwa wa watu katika mji wa Kigoma Mjini. Mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Kahabwa Gungu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Bora Dr.Slaa uachane na hicho Chama cha kifisadi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba...
  8. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

    Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe leo anatarajiwa kumpokea Mbunge Moses Machali ktk Chama cha ACT-WAZALENDO. Machali anapokelewa na Wanachama wapya kutoka NCCR-MAGEUZI wanachama 798 na Viongozi wote wa Kata wa Jimbo la Kasulu Mjini. Machali anapokelewa na Kiongozi wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    Machali umechagua chaguo sahihi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Moses Machali ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-WAZALENDO na kuachana na Chama cha NCCR-MAGEUZI.Machali amekuwa Naibu Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, amefikia uamuzi huo baada ya kulizika na sera,falsafa na itikadi za Chama cha ACT-WAZALENDO Chama...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Magazeti: Zitto ataja majina ya walioficha mabilioni Uswizi

    Baada ya Zitto kutoa orodha ya WATANZANIA walioficha fedha zao kwenye TAWI MOJA PEKEE LA BENKI YA HSBC nchini USWISI, mjadala mkubwa uliotawala Social Media unahusu ASILI YA WATANZANIA wale; hauhusu whether fedha za watu hao ni halali, au haramu..hauhusu ukiukwaji mkubwa wa sheria uliofanywa na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

    Katika mwendelezo wa ziara ya kukitambulisha chama, leo chama chetu cha ACT Wazalendo kitakuwa Mkoa wa Pwani jimbo la Kibaha Mjini. Mkutano utafanyika maili moja kuanzia saa nane mchana. Mkutano utahutubiwa na kiongozi wa chama ndugu Zitto Zuberi Kabwe, akisindikizwa na wengineo akiwemo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    Jiji la Tanga Leo litasimama
  14. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    Nikiwa nimepiga kambi hapa ktk Viwanja vya Tropicana Mabawa ktk Jiji hili la Tanga,naona Wananchi wameshaanza kuwasili ktk Viwanja hivi vya Tropicana,kwani Leo siku ya Jumamosi Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe akiambatana na Mama Tery na Afande Sele watafanya Mkutano Mkubwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    Watu wameshaanza kujitokeza ktk Viwanja hivi vya Tropicana Mabawa ktk Jiji hili la Tanga,Wananchi wa Tanga wanamkubali sana Zitto Kabwe
Back
Top Bottom