ACT imeingiza mbunge mmoja bungeni ingawa wanaongoza manispaa ya Kigoma mjini. Wakati tunaingia kwenye uchaguzi mkuu ACT walitamba kwa kusimamisha wagombea 233 katika majimbo mbali mbali. Yaani chama cha pili baada ya Ccm kusimamisha wagombea wengi.
Lengo kubwa la ACT lilikuwa kutwaa mkoa wa Kigoma kwa kushinda majimbo mengi kama siyo yote. Lengo lingine lilikuwa kuvuruga majimbo mengi ya Chadema na ndiyo maana sehemu nyingi za nchi walisubiri wagombea walioshindwa kura za maoni Chadema au viongozi waliofukuzwa ndani ya chama hicho.
Baada ya uchaguzi ZZK alikiri Lowassa alivuruga mipango yao hasa baada ya kukubalika kwa wananchi kwa kiwango kikubwa na mvuto wake kuleta balaa kwa mipango yao. (kisingizio?)
Kwa nin ACT Walishindwa vibaya Kigoma? Kwa nini kuna uvumi kwamba hata ZZK alibebwa na CCM jimboni kwake? Kwa nini kuna uvumi kwamba ZZK aliwahujumu wagombea wake? Kwa nini ZZK hakuzunguka nchi nzima kumnadi mgombea wake wa urais na wabunge wake,?