Recent content by dk.LiKeR

  1. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Kama una hofu na chuo ulichochaguliwa eiza kuhusu usajir au gharama ni kubwa omba transfer mapema gharama za transfer ni tsh.30000. SOURCE . NACTE WEB TANGAZO LA TRH 28 OCT
  2. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Vp? wadau profile zenu zinafunguka? yangu haifunguki.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    hii hatarii nimeselect tena vyuo coz sec.round nayo simo!!!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    mm nadhani watatoa kati ya trh 19-23 next wk
  5. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    jamani ndugu zangu pitieni profile zenu coz kesho hakna mambo ya kureseat choice
  6. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    piga nurcing acha mbwembwe kuna watu wanazililia nafac hzo na hawazpati.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    na ss wa sec round wk kesho mambo yanaweza kupendeza.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mm nikichaguliwa kiu nagoma kwenda kusoma coz mwisho wa cku ni kutibuana na wazaz na pesa ndo isha liwa halafu wanachkua capacty kbwa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Me profile imeongezeka deadline mpaka trh 16/10
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mbona kwangu bado lakini wameongeza cku had trh 16/10
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Sasa basi deadline tena imekua trh 16/10 kichwa kimeniuma qweli qweliii Sijui kuna tatizo gani? Kwenye system!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Zipo chidyboy uja chungulia kwa profile?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jamani kila siku #deadline zinaongezeka 2nd round deadline imekua tena LEO Trh 25/9 SAA 11:59 USIKU Hapa selection zitakua wk kesho Nidhaniavyo.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jamani Kwenye Profile VYUO havionekani Zimebaki tu Namba na 1st 2nd 3rd na Ca'city
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jamani Capacity Zime ongezeka xana.
Back
Top Bottom