Recent content by Djtoc

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tunataka viongozi makini kama Makonda, hatutaki vyeti sisi

    Tangu msikie Mkuu hua anapitia post za social media mmekua wehu sana. Unatetea ujinga kwa kua tu utawafurahisha watu fulani. Any way komaa hata Bashite alitoka kwa staili hiyo!.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    CLOUDS FM kimyaaaa! Hiyo kashfa ya kufoji vyeti ingekua ya Msigwa, Lissu au Mbowe, ingekua habar ya wiki nzima kuanzia PB, LEO TENA, XXL, JAHAZI ,SPORT EXTRA had ARA ZA ROHO. Tehetehe! Imeshika pabaya
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mkuu unaishi wapi? Operation ya watumishi hewa na vyeti feki umeifuatilia. Bora ungecomment bila kutukana coz na wewe hujui kitu. Nna rafiki yangu kasoma kilimo na ni mtaalamu wa kilimo na mchapakazi had wakulima walisikitika kuondoka kwake. Tatizo ni kwamba alienda kusoma form six kwa cheti...
  4. D

    JamiiForums Tanzania I wish i could be..........!

    Funguka una wish kua nani?
  5. D

    JamiiForums Tanzania I wish i could be..........!

    Habari wapendwa! Kuna muda kadiri mambo na matukio mbalimbali yanavyoendelea mtu unatamani kama ungekua kama mtu fulani/cheo fulani/fani fulani. Mimi naanza kwa kusema I WISH I COULD BE A "LAWYER"
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sheria ya 1/3 ya mshahara wa mtumishi imekiukwa

    Mbona unakua mzito kuelewa..hakuna aliekataa kulipa tatizo ni hiyo 15%.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi vipo wapi?

    Kutoka moyoni naichukia serikali ya awamu ya tano kuliko kitu chochote.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Jipu Ndugu hilo halitumbuliki.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutongoza 2017.....

    Duh! Kutongoza nako una google!!!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, kwanini unapenda kututisha wananchi wako?

    Yeye anafata hiyo sheria????
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Hahahaa ni vizuri lakin kwa nn usubir watu wapewe pesa ndio utangaze warudishe?.serikali yetu bana yaani hapo wangetangaza kuzuia kabla ya watu kupewa pesa tamko lisinge'hit' ila wamesubir watu wapewe ili tamko litengeneze attention. Ushauri its better tukawa 'Proactive'.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya pili ya mwaka 2016

    Kukua kwa uchumi( economic growth) ni halali kuendelea kuongezeka kulingana na factors zinazoangaliw mfano ongezeko la rasilimali( quantitative increase). Maendeleo ya uchumi( economic development) ni ngumu sana kuongezeka coz factors tunazoangalia ni kama ubora wa elimu, afya, maisha...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

    Kweli umetumwa ila bahati mbaya hujajipanga. Umeanza na kusema ni mpenzi wa CDM ila umemaliza ukiashiria ni kada wa CCM. Unadhan humu ndani wote ni std 7.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania wanalalamika maisha magumu, kuna jambo linanishangaza

    Mtoa maada hivi umewezaje kuupima ugumu/wepesi wa maisha kwa factor ya mtu kuweza kununua kifurushi cha intrnet? Haupo serious. Alafu umefanya research ya ulichokiandika? Kama hujafanya inamaana na wewe pia unashinda mitandaoni mda wote. na je kushinda kwako mitandaoni inamaanisha una maisha...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mchungaji ajiua baada ya kutuma picha ya uume wake kwenye Group la Kanisa

    Yaani hapo kama mm ni huyo mchngaji nningebadili maada na kuwaomba waumini tudiscus kuhusu uaminifu ktk ndoa na hiyo picha ningezuga ni case study.
Back
Top Bottom