Recent content by Djprezzo

  1. Djprezzo

    Kampuni za Clearing ziangaliwe kwenye sakata la TRA la Umiliki wa Magari ya nyuma

    Ukiachana na swala zima la kuuziana magari huko nyuma ama magari kuwa garage pia kuna issue ya hawa watu wa Clearing. Kwa kipindi kirefu huko nyuma kulikua na tabia kwenye haya makampuni ya clearing and forwarding kubaki na copy ya vitambulisho vya wateja wao wakati wanawaagizia magari...
  2. Djprezzo

    Massage and SPA: Wahusika wameshindwa kubaini mwendendo wa biashara hizi?

    Ndugu zangu, Hivi jamani hizi sehemu ambazo ghafla zimekuja juu saana kwa umaarufu kwa haya majina "Massage and SPA" ni kwamba wahusika wameshindwa kubaini mwenendo wa biashara hizi ama??
  3. Djprezzo

    Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    mkuu wewe umefanikiwa to some point ndo maana unaona such cars kwa level yako sio tena, ila mind you ur success kwa gari unayotumia wewe sasa hivi kwa wengine ni just usafiri ila kwako unajiona una gari. Mfn; wanaomiliki ma lamborghini or ma vogue huwezi jua gari hilo lako wewe unaloliona la...
  4. Djprezzo

    Kwani watoto wa Marekani nao wanapewa hizi chanjo zinazotolewa kwa watoto wetu?

    salama wakuu, mimi navyojua chanjo zipo dunia nzima isipokua tu zinatofautiana kidogo kwa idadi mainly pia kwa kuangalia environment. Kwa mfano SA. South Africa wanachanjo mpaka ya Flue kipindi cha baridi
  5. Djprezzo

    Life expectance ya Tanzania; Asume unapata mtoto ukiwa na miaka 30

    Thou uko sawa kabisa ila umekosea kitu kimoja tu hapo. Kwa hivi sasa mtoto anaanza darasa la kwanza akiwa na miaka 3 na SIO 6. So kwenye hayo mahesabu yako punguza miaka 3.
  6. Djprezzo

    Top 13 Most Racist & Tribalist Countries in the World

    nakubaliana na mtoa hoja 100% india ni namba moja
  7. Djprezzo

    Wizi vifaa vya magari

    Ivi Wizi wa power windows na side mirrors umedhibitiwa ama jamaa wako likizo?
  8. Djprezzo

    MSAADA: T BETTER T 996 CGJ imeibiwa Orkesumet Simanjiro

    Hii issue yako mkuu ni ngumu sana, sio kukuvunja moyo ila as per my knowledge, Wizi wa pikipiki umeshamiri ndio ila hizo pikipiki hua haziendagi mbali. Zinahamishwa eneo then zinapigishwa kazi. Unaweza kua ushapishana nayo mara nyingi tu. Wanafanyaga changes ndogo tu uc itambue kiuharaka kama...
  9. Djprezzo

    Mfanyabiashara aua mpita njia kwa risasi

    Je? Kuna mtu hapa amefikiria labda huyo jamaa alishawahi kuvamiwa before ndo maana alireact hivyo!!! 2. Kwa yoyote hapa ambaye alishawahi kuvamiwa na majambazi ndiye mtu pekee anayeweza kujua huyu jamaa alifanya vile kwamakusudi gani! 3. Watanzania nia watu wa amani sana regardless mtu anahela...
  10. Djprezzo

    Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

    Jamani kwa ambaye anajua hotuba itakua mda gani?
  11. Djprezzo

    Utafiti kwa wajiuzao Club Ambiance, Mapambano, Sinza na kwingineko

    Huo utafiti wako hata mimi nshawahi kua curious na wanachofanya mchana. Keep us posted utachofind
  12. Djprezzo

    Simu ya iPhone 5 iliyo lokiwa na apple ID naweza ku-iflash ?

    Kwa nnavyojua from iphone 5 hapo kwenda juu ndo cmu pekee ambazo hata zikiflashiwa ile lock inarudi tena kuifanya iwe useless mpaka apatikane mwenye cmu. Thou kwenye ulimwengu huu wa sasa its just a matter of time watakuja pata njia za kuzifungua.
  13. Djprezzo

    Hakujua impact ya ajali

    Mzungu mmoja asubuhi hii aligonga daladala akajaribu kukimbia maeneo ya msikitini upanga karibia na muhimbili, Katika harakati za kukimbia akapiga kona moja ili awapoteze wale wenye daladala majanga yakamkuta Inasemekana alikua amelewa maana alikua anayumba barabarani.
  14. Djprezzo

    Gari aina ya Verossa inauzwa 11ml

    Verossa 2003, ya purple namba c za mwisho. Mil 11 tu. Non negotiable. Interested people contact thru 0717089839
Back
Top Bottom