Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,054
- 18,021
Na ndiyo maana wapo on the top kwenye list hii,niliwahi kuelezea ubaguzi wa wa kenya na group la akina lawmaina lilinishughulikia vilivyo,hebu tena wapite hapa waone nilichokuwa namaanisha.Ila Wahindi nahisi wamezidi aisee.
Last edited by a moderator: