Recent content by Dj DanDaman

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    Hii Tanzania sijui itakuja kushinda kwenye fani gani tena maana vijana woooote inaonekana ni unga tu asilimia kubwa...hilo litoto linatuletea utamadumi wa kuuwa ambao hatujauzoea.safi sana biggie japo umechelewa kutoa uamuzi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Huyu nape ni mwehu toka wakati anasoma,mungu amjaalie maana inawezekana hata huo uzee hatoufikia,,,,!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong

    inawezekana lakini tusubiri kupata majina ya hao wahusika then ndo tujue serikali nayo inasema nini juu ya hao wahusika.maana hii imevuka mipaka!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda wapata ajali mbaya

    Ile kauli yake imeanza kufanya kazi kwa uwezo wake maanani! Ugua pole muheshimiwa mkubwa ila sikiliza ushauri japo ni ngumu...tengua kauli yako sasa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    uko sahihi mkuu,yaani mi nashangaa JK anasubiri nini maana wakati jeshi liko likizo kwa miaka mingi sana mpaka wanapewa kazi ya kulinda mikutano ya vyama vya siasa. Amesahau ile kauli a mchonga meno kwa nduli?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wadondoka na kufa wakati wakifanya mapenzi dirishani

    duuu..njunji nzembe,hukuona masalia ya condom eneo la tukio?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wasichana msimuige binti huyu

    that's true,mi ishanitokea kweli kabisa na nsoma hii thread kama ni mimi vile..ila mungu sometimes huwa anatukutanisha na wapenzi wasio sahihi kwa mara ya kwanza kama mtihani ili tuwe makini kwa wapenzi wa kweli tutakaowapata na ambao tutaishi nao kama mke na mume.ila ndo za wasichana wengi wa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ocean Road kuitwa Barack Obama road

    njiwa umeona watu wa Arusha tu wakuja,kwa taarifa yako ujinga wa kuibadirisha jina barabara yenye historia kubwa kama Ocean Road usingetokea kama ingekuwa iko Arusha...hebu wathubutu kuibadirisha jina 'Makongoro Road' wasikie muziki utakavyokuwa!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ocean Road kuitwa Barack Obama road

    hii serikali MaVi tuu,bado Michelle Obama Road inakuja soon! Aaaaaagh!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa onyo kali kwa msafara wa Rais Obama Dar

    duuuuu labda Gesi ya mtwara!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    sure..na tusubiri hiyo siku atayothubutu kufanya hivyo.fikra na upeo wa kiutendaji wa huyu mzee umefika ukingoni kwa nini haachii ngazi mbw~ huyu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Fuatilieni hospital mtupe data za uhakika majeruhi wangapi na waliopoteza maisha nia wangapi ikiwezekana tupia na majina kabisa,wengine tumeacha familia zetu huko ..
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msanii Langa afariki Dunia!

    Inawezekana hizi dawa za kulevya siku hizi zina mixiwa na sumu...mateja wajichunge watapukutika woote!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Trafic watatu wagongwa na gari dogo Arusha

    Sipati picha ghadhabu za traffic mkoani Arusha baada ya mazishi....ila watenge sehemu maalum za check point.mungua amlaze mahala pepa peponi huyo traffic na majeruhi wapone haraka.ameen
  15. D

    JamiiForums Tanzania Bomu la Arusha-Ni Victor Ambrose pekee, wengine wote waachiwa

    kwa hiyo huyu kijana shujaa anaweza kuithibitishia polis kwamba waliyemkamata siku hiyo ni Ambrose? Na kama polis wana taarifa hizo wanaendelea kuhangaika na nini na mbona hawajatoa tamko kama hilo?
Back
Top Bottom