Recent content by Dizza

  1. D

    Kitwanga: Serikali haifichi mkataba wa Lugumi

    Wapinzani wameokota Magazetini, CAG nae aliokota wapi?
  2. D

    Sauti ya Mke wa Waziri Mahiga na Traffic Police aliyetakiwa kupandishwa cheo

    Inawezekana kabisa huyo Mama alikosea. Hata hivyo pamoja na kazi nzuri wanayofanya Wana-usalama wetu, ipo haja ya kuuangalia mfumo wetu wa adhabu (faini) za makosa ya usalama barabarani. Tatizo ni pale mkamataji (Askari) ndiye mlalamikaji, huyo huyo anahukumu na pengine yeye anapokea malipo...
  3. D

    Bill ya maji DAWASCO iletwe mwisho wa mwezi

    Wameamua kufanya uhuni.
  4. D

    Magufuli ana ubavu wa kuvunja Bunge kama anavyodai?

    Kila zama na kitabu chake, nae sasa ni wakati wake. Tubadilikee...
  5. D

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Beno Ndulu usiwe mbishi

    Sefue alikuwa ananikumbusha enzi ya Mwalimu, wakati huo ilikuwa ukisikia sauti ya Mzee David Wakati (RIP) kwenye taarifa ya habari RTD utakuwa makini kusikiliza nani atastafiishwa kwa manufaa ya Umma.
  6. D

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Beno Ndulu usiwe mbishi

    Sina nia mbaya, namuunga mkono sana Mh. Rais, hofu yangu ni kuwa tusipokuwa makini tutaishia kuwatumbua watendaji, huku wanasiasa wakibaki salama.
  7. D

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Beno Ndulu usiwe mbishi

    Serikali ikae chini na Wataalamu kuangalia namna bora ya kuondokana na madudu yaliyopo. Rais wa nchi amepewa madaraka makubwa sana ktk katiba yetu, nafikiri itumike busara katika kuwahoji watendaji. Binafsi naamini wanasiasa wetu wamekuwa wavurugaji wakubwa ktk taasisi zetu. Hivyo basi sitegemei...
  8. D

    Prof. Beno Ndulu: Watu wanaongea wasiyoyajua, BoT haina wafanyakazi hewa

    Binafsi naamini Mh. Rais anaelewa anachokifanya, lakini tatizo ni mifumo yetu ya uendeshaji Nchi. Naamini mifumo yetu inawapa viongozi wa kisiasa mamlaka makubwa kuliko Wataalamu na Watendaji.
  9. D

    Umeya wa Dar Utamponza Magufuli

    Viongozi wetu wa Dini mpo wapi? Tambueni Mungu wenu anawaona, m'mekuwa mnaomba sana Amani, lakini hamtaki kusimamia haki. Naanza kuyakubali maneno ya Dada yangu Bi. Asha (Mungu amrehemu), alituambia hawaitoi, hawaitoi, hawaitoi kwa karatasi. Wengi tulimpuuza lakini mbele ya Mungu alitimiza...
  10. D

    Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

    Mchezo wenu ndiyo mauti yetu, tutumie mitandao kujenga na si kubomoa. Busara itumike, kwani hakuna Jeshi linaloweza kuleta amani bali kazi ya Jeshi ni vita. Libya pamoja na kuwepo Jeshi, amani imeshindikana kurejea. Ni haki pekee inayoweza kudumisha amani, mdharau mwiba mguu huota tende...
  11. D

    Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

    Wabongo tuache Umbea, majungu siyo mtaji - tufanye kazi.
  12. D

    Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

    Alilolipanga Mwenyezi Mungu kuwa, huwa. Matusi, kejeli na dharau haviwezi kuubadilisha ukweli. Tanzania kwanza vyama baadae.
  13. D

    Tanzia: Rais mstaafu Kikwete afiwa na dada yake

    In'na lillahi wainna illayh rajiuun - Pole sana Mhe, JK.
  14. D

    Dr. Mwaka, tunaomba majibu hapa tafadhali

    Serikali iwekeze ktk Afya ili kuepuka Matapeli. Lakini pia tusipuuze tiba m'badala, kwani upo ushahidi ktk baadhi ya maradhi imeonyesha mafanikio. Mfano mdogo ni upande wa uungaji mifupa, tiba asili imekuwa ikiwasaidia wengi. Muhimu ni kupitia upya utaratibu mzima wa tiba hii Asilia...
  15. D

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Ipo ktk mamlaka yake, hakuna shida. Namuomba tu, aungalie pia uwezekano wa kuwaruhusu TAKUKURU kusimamia kesi zao wenyewe Mahakamani badala ya kudhibitiwa na Dpp.
Back
Top Bottom