Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,069
- 8,751
nadhani hata mwalimu wako alishindwa kukutoa ujinga akilini mwako kwa sababu ya uelewa wako wa kuchanganua mambo kua mdogoMkuu hata mm sijaelewa Suala la Meya linaloendelea nchini coz najua Meya aliye na utata ni wa Dar na sio meya wa Tanzania kama Nchi...na hiyo nafasi ki msingi kama nchi haipo.....
Kama ni issue ya mayor ni wa Dar na Siyo kama nchi.....Usitudanganye
kilombero ukusikia yaliyotokea au siyo nchini tanzania?