Recent content by Dizkiz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania na propaganda za udini

    Nadhani kama kuna mahali kwenye vitabu vya kufundisha ni jambo jema marekebisho yafanyike. Ila pamoja na kuchangia humu, wanaopata wasaa wafikishe kwa wahusika. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania na propaganda za udini

    Qur-an is clear, the problem start when you take some parts of the verses and leave the other parts. Go back to the history and check it. Muslims are asked to fight after being touched. Read the who start to fight others you will get the answers. Let's discuss the problem and propose the good...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Ndio maana kuna elimu ya watu wazima, yaani ukishazaa wewe ni mtu mzima kwa hiyo nadhani wajiunge na elimu ya watu wazima. Hayo ni maoni yangu tu wadau. Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

    Hata kama umeguswa sana tujaribu kuheshimu dini za watu hata kama kiongozi wao ameteleza. Ni ushauri wangu tu huo wakuu.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huyu binti

    Huu ndio uhalisia ila sijajua ni kwanini. Mwanamke akinikubali haraka huwa na kuwa na wasiwasi mkubwa ila akinizungusha ikifika hatua nikasema basi huwa sigeuki nyuma. Mungu nisaidie.
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mimi mapenzi tena basi!

    Hapo kaka umenigusa, kwenye sura na umbo mm ndio ugonjwa wangu
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mimi mapenzi tena basi!

    Huyo mwanamke ana umri gani? Maana umri wakati mwingine huwa ni shida. Wanaweke wenye umri kuanzia 26 wengi huwa wametulia kidogo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na wadhamini wapya premier league games hapa Tz

    Na everton pia mkuu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Muulize kwanza umri wake huenda ndio kwa mara ya kwanza anatarajia kupiga kura 2020.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Anajua shule ni vyeti, wakati watu wanafanya forgery. Sisi tunaangalia unaifanyia nini jamii then tunakupa credit
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Tena ni German machine, never seaz never tired.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Usimkatishe katatishe tamaa mkuu, hata mbuyu ulianza kama mchicha. Chamsingi mpe maswali madogo madogo tu yakumfanya ajiulize na kujijibu mwenyewe. Muulize kwanza MMU anaijua.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Haya mambo yamekaa kisheria zaidi. Hivyo TL ametafsiri sheria kulingana na mikataba waliyosiani wakuu wetu. Rejea mikataba yao ndio utaelewa. Wakuu wanasaini mikataba halafu wanasema ni siri kisha wakija kwetu wanatuambia tunaibiwa hapo ndio uweze na kuwazua then unajijibu mwenyewe.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Kwa wale wasio maana ya sunna iliyokokotezwa ni kwamba ukifanya unapata malipo makubwa mno.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi katika vyama vya Upinzani Nisingetia timu Uchaguzi wa 2020 JPM kakaba kona zote

    Mnatuboa, maana utadhani mnafikiri kwa kutumia mak... li...
Back
Top Bottom