Hivi mchezaji hajafunga hata magoli kumi katika mechi zote kwa msimu kwa vipindi viwili unasema hiyo dhahabu?, kichuya na mzamiru yassin wawe na miguuu ya nn?. Kwan Mimi ni bishoo tu asiyejitambua wenzake wanachakalia bongo na vipaji vyao, kina niyonzima, msuva,nk yeye ana nn cha ziada
Kwa jinsi ninavyojua usiri wa rais wetu hii ripoti ya mwananchi inatia shaka na imekaa kwa misingi ya wewe umemwaga mboga mi namwaga ugali, tusubir ripoti halisi maana kama kuna mtu kalipwa ili amchafue mtu vile!!!
Akinukuu makamba vifungu vya biblia anasifiwa kwasababu hagusi imani yako?. ..hii meli tuliyopanda itatupeleka pabaya na ndio maana inapokuja mada inayomuhusu Dr Dau hata watu tunaowaheshimu humu jf hujitoa ufahamu na kuchangia kama vile sio wao
Wanaomponda dau leo watakuja mkumbuka kesho kwani tabia ya binadamu ni kama kuku kwan ukimtupia mchele lazima apekue akihisi chini upo mwingi zaidi ya ule uliomtupia kumbe anafukia haya ule mchache uliomtupia. Ukiona watu leo hii hadi wanavutiwa kufanya kazi nssf basi ujue kuna kazi imefanyika ...
Jibu ni kwamba soma katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina jibu rahic sana kwamba kutuhumiwa tu hakumfanyi mtu kupoteza haki zake kama hajapelekwa mbele ya vyombo vya sheria. Dr slaa alitaja hiyo list je ndio final kuwa aliowataja wanahusika?.
Huyo aliyetoa wito huo ni mjinga coz tatizo sio kupima tu angesema wakipima vipimo wampelekee yeye ili amwonyeshe mkewe hapo sawa bali kwa wagombea km magufuli au lowasa mara ngapi tumesikia wameenda ujerumani kuchek afya zao?
Huyu ndio kiongozi pekee mwenye uthubutu. Kwan kinachotokea south Africa hakipaswi kunyamaziwa na kiongozi yeyote hata afisa mtendaji kata kwani sio tu uvunjaji wa haki za binadamu lakini ni kuudhalilisha utu wa mwafrika. Hebu jiulize wanaofanya kazi south afrika ni weusi tu?, nakubali maneno ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.