Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Dec 25, 2015 #2 Hayo ni maharage au miharage, mbona makubwa mno!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,735 729,911 Dec 25, 2015 Thread starter #3 Chapa Nalo Jr said: Hayo ni maharage au miharage, mbona makubwa mno! Click to expand... Hahaha ya kizungu hayo
Chapa Nalo Jr said: Hayo ni maharage au miharage, mbona makubwa mno! Click to expand... Hahaha ya kizungu hayo
mtz daima JF-Expert Member Apr 15, 2015 1,561 579 Dec 25, 2015 #4 Hiyo kitu Hukawii kujamba wiki nzima hahaha
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,735 729,911 Dec 25, 2015 Thread starter #5 mtz daima said: Hiyo kitu Hukawii kujamba wiki nzima hahaha Click to expand... Hasa ukipata na mixer ya mtindi na maparachichi kisha ushushie na mbege
mtz daima said: Hiyo kitu Hukawii kujamba wiki nzima hahaha Click to expand... Hasa ukipata na mixer ya mtindi na maparachichi kisha ushushie na mbege
kaka mzuli Senior Member Jan 2, 2015 167 49 Dec 25, 2015 #8 mshana jr said: View attachment 312843 Click to expand... Itakua kisiju pwani uko
D DIZEPA Member Apr 2, 2012 40 10 Dec 25, 2015 #9 Kaka kisiju ipi , pwani, dondo, kalole, kichangaunju au?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,735 729,911 Dec 25, 2015 Thread starter #10 kaka mzuli said: Itakua kisiju pwani uko Click to expand... DIZEPA said: Kaka kisiju ipi , pwani, dondo, kalole, kichangaunju au? Click to expand... Kulee kwa baba nanihii, ukipita masaki
kaka mzuli said: Itakua kisiju pwani uko Click to expand... DIZEPA said: Kaka kisiju ipi , pwani, dondo, kalole, kichangaunju au? Click to expand... Kulee kwa baba nanihii, ukipita masaki
C chalotte JF-Expert Member Dec 15, 2015 238 67 Dec 25, 2015 #11 Sio kama wale wanaume wa dar wanaokula chips yai kila siku ,kumbato hawezi .
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,735 729,911 Dec 25, 2015 Thread starter #12 chalotte said: Sio kama wale wanaume wa dar wanaokula chips yai kila siku ,kumbato hawezi . Click to expand... Ngoja waje
chalotte said: Sio kama wale wanaume wa dar wanaokula chips yai kila siku ,kumbato hawezi . Click to expand... Ngoja waje
naiman64 JF-Expert Member Nov 22, 2013 6,865 5,314 Dec 25, 2015 #15 mshana jr said: Ngoja waje Click to expand... Hata wakija watatulilia tu hakuna cha maana kitakachoongelewa
mshana jr said: Ngoja waje Click to expand... Hata wakija watatulilia tu hakuna cha maana kitakachoongelewa