Recent content by diwan

  1. D

    Afisa Biashara wa Jiji la Arusha asimamishwa kazi na Baraza la Madiwani

    Habari wadau. Nimesoma hii Habari kidogo kama sijaelewa, labda iliyeiwasirisha atueleze vizuri. Sababu ni kutoa leseni ya Biashara kinamna namna. Kama sijasahau ni one shop one business license. Kama kweli katoa leseni moja kwa maduka 20 hapo kuna shida. Lakini nikija upande wa pili naona hili...
  2. D

    Kampuni ya Cardealpage Ltd

    Habari wanajamvi, jamani katika harakati za kutafuta gari nimeiona kampuni yenye jina hapo juu ambayo ipo Japan. Kwenye webpage yao nimeona wanauza gari ambayo kwa kweli nimeipenda kutokana n'a mahitaji yangu. Sasa hofu yangu ni juu ya Uzoefu na uhalali wa hii kampuni kwa sababu kwangu mimi...
  3. D

    Yah: Uchaguzi Serikali za mtaa

    Viongozi walishatolewa madarakani. Saizi hakuna wenyeviti wa mitaa, vijiji wala vitongoji, na wala hakuna halmashauri ya kijiji wa mji. Kwa hiyo kama kabandika bango,kabandika kama mgombea yoyote anavoweza kufanya. Ingawa ofisi za serikali na majengo ya umma hayatakiwi kubandikwa matangazo...
  4. D

    Vibali biashara ya kusafirisha mifugo

    Unatakiwa kuwa na Leseni ya Biashara, uwe umelipia mapato(uwe na ile karatasi ya mchanganuo wa ulipaji wako wa kodi kwa mwaka). Document nyingine utazipata mnadani. Kama unataka kusafirisha ať once tuwasiliane unaweza tumia nyaraka zangu. Kwa maelewano. Ila nakushauri tafuta mtu mwenyeji...
  5. D

    Nauza note 3 laki 550,000

    weka picha na andika specification zake
  6. D

    My Views: The Escrow saga is over

    Tukifuata sheria za hii nchi, humkamati hata mmoja. Kumbuka hela nyingi zishatumika na acc nyingi zimeshafungwa
  7. D

    My Views: The Escrow saga is over

    Kwa mtazamo wangu baada ya uwasilishaji wa taarifa ya ukaguzi ya swala la Escow Acc na mambo yake yooote. Kesho waziri mkuu atajiuzuru wadhifa wake hivyo baraza la mawaziri litavunjwa, pamoja na baadhi ya mawaziri waliotajwa kuhusika moja kwa moja katika ukwapuaji wa mabilioni ya Escow. Hivyo...
  8. D

    Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

    Huyo dada ni mafia tu, yeye mwenyewe hana hata miezi mitatu kasitishiwa mkataba wake wa ajira pale Tanesco Arusha baada ya kupiga udokozi wa hela za bill za umeme. Alikuwa ass Acc pale.
  9. D

    Je, ni haki kuchoma picha za Mpenzi wako wa zamani na kumtangaza kwa mabaya?

    Kinachoongelewa hapa ni matokeo baada ya kuachana, Kwenye kuachana ni kwamba kila nafsi kati ya wapenzi hao itakuwa na maumivu flan. Suala ni je haya maumivu mnaya handle vip? mimi siamini kwamba ukiachana na mtu ndio mtukanane, mkashifiane, au mtishiane maisha sababu haiwezi kurudisha furaha...
  10. D

    Je, ni haki kuchoma picha za Mpenzi wako wa zamani na kumtangaza kwa mabaya?

    Hiyo ipo hasa kwa wanawake, kiuhalisia ukiona mtu huwezi kuvumilia kuona zawadi zako,picha zako zozote ambazo ulimpa.kipindi cha mapenzi yenu, huyo anamatatizo. Mimi naamini kama moyo umeshaamua kwa dhati na mkaachana hamstairi kuwa na bifu. Tunatatizo moja la kufanya maamuzi na kutokuwa na...
  11. D

    Asante mpenzi wangu wa zamani

    Mimi ndo Dear Ex, siwezi kuyaelezea yote hapa yaliyotokea ila My Ex anajua. Na ndio maana kwa uelewa wake kampa Id yangu ananitafuta coz tuliachana for good. Huyo boy wake wa sasa ni muongo coz sijawahi wasiliana nae na simjui. My Ex com down, punguza jazba, usikurupuke coz watu watakutumia...
  12. D

    Nilimpa mimba binti mdogo kumkomoa mke wangu

    Hahahaha angalia Masai Dada... Asije akauhamishia majeshi kwako... Mapenzi ni complicated displin
  13. D

    Asante mpenzi wangu wa zamani

    Samahani saana Masai dada, nilikuwa kijijini ndo naingia mjini na kuona uzi wako. Lakini nataka nikanushe kwamba simjui boyfriend wako,sijawahi kuwasiliana nae na hayo aliyokwambia akwambie kayatoa wapi. Pili naomba huyo boyfriend wako aache tabia ya kusingizia watu, kama alitaka kukuacha...
  14. D

    Nifanye nini ndugu zangu

    Huku mtaani na maofisini demu akikuita handsome ujue unachapaaa. Wewe uza sura tu, sisi tutakulelea wakija field huku.
Back
Top Bottom