Vibali biashara ya kusafirisha mifugo

CSC

Member
Aug 11, 2013
79
0
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
 

diwan

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
308
195
Unatakiwa kuwa na Leseni ya Biashara, uwe umelipia mapato(uwe na ile karatasi ya mchanganuo wa ulipaji wako wa kodi kwa mwaka). Document nyingine utazipata mnadani. Kama unataka kusafirisha ať once tuwasiliane unaweza tumia nyaraka zangu. Kwa maelewano. Ila nakushauri tafuta mtu mwenyeji na mzoefu otherwise utaenda kukata hela yako. All the best
 

mavado

JF-Expert Member
Jun 25, 2014
1,161
2,000
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
mambo vp ? ebhana hii biashara imekaaje mzeiya , vp naeza pata ushauri kutoka kwako kama inawezekana, nicheki kwa 0767328063 whatssap
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom