Recent content by Ditektivu Konstebo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Toa uthibitisho, maana hizo allegations huwa ni za kufikirika tu, kama kuna sehem ulishuhudia ulivhukua hatua gani? Try another lie
  2. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Onesha huo ukilaza basi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Acha mbwembwe, mke utakuwa nae wewe? Na hii tabia yenu mnashinda JF wake zenu hamuwapi haki yao, wataachaje kutupenda wakati tunawapigisha gwaride la ukweli
  4. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Hatutumiki, tatizo mbunge wenu hana sera zaidi ya kuafuta kiki kupitia polisi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Walishakalili polisi omba omba, wakati daily tuna buku sita ya kula, bank kumi na tano, ukijumlisha napata 21000, halafu nimuombe mtu hela?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Wewe ndio una njaa, na usivyo na akili badala hiyo jero ununue japo chapati unanunua mb
  7. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Mkuu naona unatafuta kiki tu ya thread yako, inawezekana umeota au umeamka vibaya hivyo unatafuta ahueni hata kwa kupost pumba! Kwa taarifa yako hakuna polisi omba omba na kama umemkuta anafanya hivyo basi hua huyo ni MGOGO toka dodoma, maana yake omba omba ni jadi yake regardless of his...
  8. D

    JamiiForums Tanzania OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

  9. D

    JamiiForums Tanzania Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

    Nani alikuambia wanachukiwa na RAIA? Wanachukiwa na ninyi wahalifu tu
Back
Top Bottom