Recent content by Distant Relatives

  1. Distant Relatives

    Mfumo wa kupeana majina nchini Korea Kusini

    "Wabongo mtu huwa na majina matatu". "Hawana haya mambo ya jina la baba. Ni jina la mtu na familia basi" Kwa hiyo unaona mfumo wetu ni wa hovyo na wao ndio bora.? Mental slavery ni mbaya sana. Yaani mtu anakosa kujiamini na kujithamini hadi anajidharau. Kuna bwana aliulizwa. 'sisi huku...
  2. Distant Relatives

    Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    Hakuna shaka Magufuli was a great stateman, patriotic, visionary and pan africanist! It's such an honor to name a kid after him.
  3. Distant Relatives

    Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Mliokuwa wafuasi wa JPM(kama mimi) acheni wenge. He is gone. Hatorudi kamwe. Na samia ndio Rais. Jifunzeni kumuheshimu, aligombea na kupigiwa kura, urais wake sio wa hisani. Usijitoe ufahamu, mradi wa ujenzi wa nyumba za marais ni takwa la kisheria na jpm ndio muasisi.
  4. Distant Relatives

    Waafrika hadi sasa tunashindwa nini ku-document dini zetu kama waarabu, wahindu, wajapan, Wachina, wayahudi?

    Hujajibu swali, dini sahihi unaipima vipi? Huwezi uthibitisha usahihi wa jambo kisa limejitamka kuwa ni sahihi. mf huwezi sema Katiba ya Nchi fulani ni bora kwa sababu tu katiba hiyo imetamka yenyewe ni katiba bora.
  5. Distant Relatives

    Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Sijaelewa, Yaani Kikwete anaishi nyumba ya kupanga?
  6. Distant Relatives

    Waafrika hadi sasa tunashindwa nini ku-document dini zetu kama waarabu, wahindu, wajapan, Wachina, wayahudi?

    Ndipo ujinga na hatari ya hizi dini ulipo. Dini inapohubiri yenyewe ni bora kuliko nyingine hatimaye huwafanya waumini wake wajione sahihi na watu bora zaidi ya wengine. Hizi ndio huzaa itikadi za mauji.
  7. Distant Relatives

    Waafrika hadi sasa tunashindwa nini ku-document dini zetu kama waarabu, wahindu, wajapan, Wachina, wayahudi?

    Dini ni uumbaji wa mwanadamu. Mungu hana dini yoyote. Nilishaachana na dini za kimapokeo hizi. Dini hizi za kimapokeo Zinatatizo kuu moja, zinatengeneza ubaguzi na utengano wa binadamu. Dini yangu kwa sasa inaongozwa na imani kuu ya UTU. Ninafuata sayansi(kwani Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa...
  8. Distant Relatives

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Waswahili bana, hadi mambo ya vyumbani kwa watu mnayajua. Eti ameteswa. Saikojia ndogo tu, mtu hadi anaugua kwa kufiwa halafu unapiga porojo hapa eti alikuwa akiteswa! Kuwa hater ni shida sana.
  9. Distant Relatives

    Rais Samia Suluhu Hivi ndivyo anavyotekeleza Kauli Mbiu ya Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.

    Hapo na 5. Nakukumbusha tu, Rais Samia ni Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
  10. Distant Relatives

    Ajenda ya Corona na Wazee wa Dar es Salaam; Usizunguke zunguke, nyooka kama rula

    Kwa hiyo mzee wewe umeamua kuwa hater wa Rais Samia. Pole sana maana kuwa hater ni kazi ngumu sana. By the way, hakuna mtawala asiyetaka kuungwa mkono na makundi ya kijamii. Ni kanuni ya utawala. Hata JPM unayemsuhudu alifanya haya. Swali, hivi mzee anaweza kukopeshwa? Akafanye biashara gani...
  11. Distant Relatives

    Mfumo wa mashitaka wa Marekani ni wa ajabu sana, kosa moja dogo unaweza kusomewa mashitaka 20

    Hata hapa kwetu yapo hayo, tatizo ni PPs wenyewe katika uaandaaji wa charge sheet hufanya 'kibabaishaji' sana.
  12. Distant Relatives

    Mkoa wa Kilimanjaro waongoza kwa watoto kupata utapiamlo

    Utapiamlo kwa kiingereza ni Malnutrition (mal=bad, nutrion). Hivyo ni mlo mbaya. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vyakula[huna chakula] au mpangilio mbaya wa vyakula[unavyo lakini unakula hovyo hovyo bila kuzingatia kanuni za mlo kamili.
  13. Distant Relatives

    Kama hili lina ukweli basi Uhuru Kenyatta ni noma sana, kwa sasa anachekea tumboni tu

    Inasemeka... Tumepigwa vibaya... kauli ya kwanza yaonyesha ni habari isiyo hakika, kwenye kuhitimisha unaonyesha uko na hakika. Hii ni porojo.
Back
Top Bottom