Recent content by DissDotCom

  1. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    Hapo nina amini kweli kabisa ni lengo la kukutoa kwenye uaminifu
  2. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    Kumbe ni hivi eheee
  3. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    D Heeeee makubwa
  4. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    🤣🤣
  5. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana. Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio mizigo inafululiza vibaya sana. Tatizo ni nini hapo?
  6. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Tumeshazoea Maisha Bila Video za Porn Tanzania

    link kaka nienjoy
  7. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Tumeshazoea Maisha Bila Video za Porn Tanzania

    Kiuweli ni kama siamini hivi ila ndio ishazoeleka tena kwa sasa, kila siku najaribu kubrowse kwenye sites za ngono kuona labda mzigo umeachiwa lakini wapiiiii? Ombi letu kama mlivyofanikiwa kufungia site za ngono tunaomba mdhibiti na wale wa makampuni ya simu wanaotutumia sms bila mpangilio...
  8. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Watumishi tunadai shabiki zetu hatujawahi kupanda madaraja wala kubadilishiwa mishahara miaka mitano sasa
  9. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kutuma pesa ukweni?

    Daaah hii imeniuma sana
  10. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kutuma pesa ukweni?

    Jamani swali langu hivi ni lazima kutuma pesa ukweni? Hivi unapokua umeoa na tayari umeshalipa mahali umekabidhiwa mke na mmeanzisha maisha yako kuna umuhimu wowote wa kuwatumia pesa wazazi wa mwanamke kila mwisho wa mwezi? Japo ulazima upo kwenye zawadi pale ambapo unaenda kuwatembelea.
  11. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwape mimba Wachumba zetu jamani

    Asante sana mkuu wacha waendelee kujipanga waone
  12. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwape mimba Wachumba zetu jamani

    Daaah Mzee wangu Mungu akubariki sana
  13. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwape mimba Wachumba zetu jamani

    December anavaa shera hapo
  14. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwape mimba Wachumba zetu jamani

    Huko kujipanga ndio kunachelewesha mambo sana
  15. DissDotCom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwape mimba Wachumba zetu jamani

    Hongera sanaaa mkuu hapa kazi tu
Back
Top Bottom