Recent content by disminder4ril

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

    juvenile kumbe uli huafrika kusini!!! duuuh....nahalihuhwo ilungu lyalimalishe....ingaminye mapema hanganalolile mwanakwetu
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri za ndani: Nimemkuta wife anachat na mwanaume kimahaba

    wapotezee....kwanza vingereza vyao vya kuunga na big G, waambie wasipotezeane muda waende english course
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

    yenu uiganimwalangani!!! imbomboleyenu!!!!
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

    Umayi wani afuma humwashoma kabisa, nasisi tulinamgunda whindundu
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

    hahhaaaaa...sanyunu imojile tee alole i thread ya safwa ani ni safwa afume whimezu
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wanaume wawili tofauti na wote wanataka kuja nyumbani kujitambulisha, nipo njia panda

    Kuwa na mtu usiyempenda ni stress....kuwa na watu wawili af huwapendi ni stress plus plus....no wonder unajiona unazeeka at the age of 23...ni stress zinakuzeesha... ushauri wangu achana nao wote and u will find urself growing younger
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Lidake tena chozi langu

    Duniani kuna watu wana roho mbaya na ni mashetani....wanaishi kama vile hakuna Mungu ama kama vile wataishi milele...wakati nasoma natamani hata isiwe hadithi ya ukweli...natamani iwe ya kutungwa maana haya maumivu hayabebeki...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Pumbazo

    Mzaramo rudi huku basi...mambo hayaendi kabisa
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Asante sana Lara 1 kwa story yenye mafunzo mengiii....though haikuisha kama nilivotarajia kwa upande wa Santos, thought atarudi na mijipesa ya kufa mtu maskini kumbe aliangukia pua ila natamani sana Santos angemweleza mkewe pesa ziliendajeendaje...all in all ubarikiwe
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    lara 1 mida ndo hii...maana niliweka hadi alarm
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo gani wa mapenzi ukiusikia unahisi kama umeimbiwa wewe?

    Say it isn't so - Gareth
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi Wa Kuuza K Unavowatoa Watu Kimaisha Bongo. Hutoamini.

    Happy easter lara 1
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    pastor nimempenda saaaana...yaan nampatia picha hadi namuonea wivu Violla.....kweli kwenye maisha hakuna formula
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

    waoh.....am out of words Lara1
Back
Top Bottom