hamna bhana mkubwa amechoshwa na ujinga ujinga, badala ya kukaa na kujadili mambo muhimu mnapoteza muda wa kujadili watun wajinga wajinga. Pinda endeleee safi sana, huwa hakuna kiongozi aliyoko madarakani ikatokea watu wakampenda kila siku.
Nawaamini na kuwakubali coz bila wao tusingepata muda wa kukaa katika mitandao na kuanza kujadili mada mbali mbali chukulia mfano Darfuu, kongo watu hawana utulivu kama tulionao sisi hii kutokana na kazi za vyombo vya dola najua mtaviponda lakini ukweli utabaki palepale vyombo vya dola vyote...
Wana po kukamata unatakiwa kutiii kukukamatwa usipo tii watakulazimisha kutii kulingana na nguvu zako, ifikie mahara tuache kuweka vitu vinavyo chochea vurugu badala yake tuweke vitu vyenye maslahi kwa nchi yetu.
Aha kaka hapo kidodo hujatumia weledi hizo ndio taratibu zao bwana yeye ndio kiongozi katika eneo lile kwa sasa usipost vitu ambavyo huna ufahamu navyo bhana
Hawa ni makamanda hatujawachagua sisi wananchi, wanaongozwa kwa mujibu wa taratibu za kijeshi mtu akifikia cheo cha jenerali sio mchezo. Mi siamini kama hawafanyi kazikuna nchi zipo ktk shida ya usalama na mambo ya kisheria yaani hakuna mahakama wala mtu kupeleka mahabusu ukikamatwa ni jera...
Msiwaingize Polisi katika mambo yenu ya kisiasa bwana , acheni Polisi na vyombo vingine vya dola kuendelea na uchunguzi wake huko mtwara ili waweze kuwakamata watu wote waliochochea vurugu huyo kama amekamatwa ni bado mtuhumiwa tu, mahakama ndio itaamua na sio polisi. kwa hiyo msiwachoshe watu...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi nchini linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa ambayo imekuwa ikiripotiwa katika gazeti la Jamhuri la siku ya Jumanne tarehe 21 – 27 Mei, 2013 toleo No. 81 na la tarehe 28 Mei -Juni 3, 2013 toleo No. 83, yenye kichwa cha...
Yaani endeleeni kuwakamata na kupeleleza ili kuujua mtandao mzima wa uchochezi, mkiona mtu anavichukia vyombo vya dola, yaani ulinzi na usalama mjue huyo si mwema ana agenda zake binafsi kwa hilo msiwajali watu wachache wanao wasema vibaya, nawapongeza kwa kurudisha hali ya amani huko Mtwara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.