Recent content by Dionisi M. Thomas

  1. D

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Kama wamekuwa wasaliti, basi maamuzi ya kamati yatakuwa sahihi tu. Bora kuwapoteza wawili kwa ajili ya kulikomboa Taifa. Mimi sina wasi wasi na maamuzi ya CHADEMA maana ni chama chenye watu Makini, hivyo hata maamuzi yao yatakuwa ni maamuzi makini.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Ok, majina yametajwa. Swala ni je, hatua zitachukuliwa dhidi yao? Au ndo itakuwa habari ile ile ya siku zote kuwa, "bado uchunguzi unafanyika, na ikithibitika kuwa wanahusika watachukuliwa hatua" wakati saaingine ushahidi unakuwepo wa kutosha? Napenda niwakumbushe Watz kuwa serikali yetu siyoooo!!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

    Tokea hapo wanawake hawafai kabisa kabisa. I hate women.
  4. D

    JamiiForums Tanzania IGP Said Mwema aongezewa mkataba

    Hivi Tanzania hii mpaka lini na CCm? Wenye macho kuweni makini na serikali hii, vinginevyo sisi pamoja na vizazi vyetu tutajuta na vizazi vyetu vitatulaumu. SHIME!
  5. D

    JamiiForums Tanzania IGP Said Mwema aongezewa mkataba

    kwani hakuna watu wengine wenye sifa kama walizonazo hao, au zaidi yao?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    Serikali yetu inapaswa kuwa makini zaidi ili kupunguza usumbufu pamoja na gharama ambazo si za lazima. Fikiria wanaopanga upya hayo matokeo hawalipwi? Kama wanalipwa, hiyo ela inatolewa katika mfuko gani? Our gvt. be careful, wakati huo tukijiandaa kubadilisha mfumo mzima wa utawala wa nchi hii...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Naibu Waziri watajwa mauaji ya kamanda Liberatus Barlow! Shuhuda ahifadhiwa kwa IGP Mwema...

    Hilo ni dili la magamba. La msingi watanzania inabidi tubadili mfumo mzima 2015. Chonde chonde.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Hii ni mada nzuri ya kuwaelimisha wananchi juu ya haki zao. Tatizo kubwa la hawa mapolisi ni elimu ndogo na mtazamo hasi, (negative). Pili, hawataki kujiongeza kwa kusoma vitabu vya sheria pamoja na majarida mbalimbali ili kuji-up date. Akishapewa gwanda anadhani kamaliza yote, yote wapi? Naweza...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

    wakenya hawajadhihaki bunge wala nini. hiyo ndiyo hali halisi iliyoko bungeni Tanzania. Kwanza hata kuliita Bunge tukufu ni kama kuzalilisha UTUKUFU kama UTUKUFU. Naweza kuungana na msemaji aliyesema kuwa Tz hatuna Bunge bali kijiwe tu cha bunge.
Back
Top Bottom