Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

Madame A, kwa hyo hata ww unasaliti mpenz wako?mmmh kwel hakuna msichana mwaminifu

Usininukuu vibaya, sijasema kuwa nasaliti. Sijawahi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, kwanza nguvu hizo sina. Ila nilichokuwa namaanisha ni kuwa USALITI mwingi kwenye mahusiano unasababishwa na wahusika wenyewe. Kila mtu anahitaji kupata tulizo la moyo kutoka kwa mwenzi wake. Sasa inapotokea kuwa mwenza wako ha-feel maumivu yako, mara nyingi wengi hukimbilia kutafuta faraja sehemu nyingine. Ndio maana siku za karibuni wanawake wengi wamekuwa wakisariti ndoa zao kitu ambacho zamani ilikuwa nadra kutokea.
 
Huhuhuhuhuhuuuuu...message sent
Well said! Hakuna mzuri hapo mbona wamemkazania huyo mdada, cjaona hata comment moja ya kumlaani huyo mwanaume ambae nae ni mkosaji no 1 kumchukua mke wa mtu, tena akiwa na mtoto mgongoni na kumpeleka guest na kulipia rum ili kufanya uzinzi nae. Au mnataka kutuambia wanaume hawana akili na utashi wa kujua kuzini na mke wa mtu au mwanamke asiye wako ni vibaya/dhambi?
Shame upon him too!
 
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.

My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii

Hayatuhusu. Hizi habari za umbeya peleka kwa shigongo. Usishushe heshima ya JF!!

Usininukuu vibaya, sijasema kuwa nasaliti. Sijawahi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, kwanza nguvu hizo sina. Ila nilichokuwa namaanisha ni kuwa USALITI mwingi kwenye mahusiano unasababishwa na wahusika wenyewe. Kila mtu anahitaji kupata tulizo la moyo kutoka kwa mwenzi wake. Sasa inapotokea kuwa mwenza wako ha-feel maumivu yako, mara nyingi wengi hukimbilia kutafuta faraja sehemu nyingine. Ndio maana siku za karibuni wanawake wengi wamekuwa wakisariti ndoa zao kitu ambacho zamani ilikuwa nadra kutokea.

Owk nimekusoma madame A,ila yapasa kukaa na mwenzio mdiscus pale mnapokosea na sio kumsaliti ili hali hujamweleza maumivo yako.
 
Unaona mkuu,cjui gal kakusa nn coz kila k2 anapewa daah inatisha
Yaani ni Binadamu wote tu na wewe
Hebu nambie eti ulikuwa na Girl wako hapohapo Guest mkawafuma Mke wa jamaa
Kwa nini usiende naye nyumbani kwako au Waife yupo
Hii inanionesha huyo jamaa ni rika lako na lazima na ww utakuwa na Mke
MY TAKE
ungemuambia tu kwenye simu kuwa Mkewe anavurugwa tena kaingia na mtoto wake
ili kikisanuka na wewe waliofumwa wakuulize
Huyo Girl km ni halali usimpeleke Guest unamfundisha mengi siku ukimuoa
 
Mkuu,huyu niliyekuwa na guest ni mpenz wangu huwa 2nakawaida ya kutoka out angalau mara moja kwa mwez.vle ckutaka kuharbu cku yangu na starehe zangu ww unadhan ningemshtua mheshemiwa pangelalika kwel pale?
 
Unaingia nyumba ya Wageni halafu uwe na hofu? hofu ya nini? Ukiwa na hofu ujue kuna jambo ovu unataka kulitenda. It's too early to judge, hio bado ni nyumba ya wageni, na wageni wetu hufikia huko kwa watu kama sisi tunaopanga chumba kimoja.
 
Hv mkuu dem Wako kakuaga anaenda kibaha then unambamba bagamoyo utajckiaje?
 
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.

My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii

Kuna watu mabingwa wa kuchepuka kama wanaume?
 
Michepuko
Ilikwepo,Ipo na Itakwepo,kama mwanzo sasa daima na milele.Muache aonje raha ya nje.
 
Na mtoto kwenye nyumba ya wageni? Kama nashindwa kuamini vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom