Recent content by dingi007

  1. D

    Iran, ametangaza: Hakuna tena mazungumzo ya amani na Marekani au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu

    Natamani warushe makombora yatue Washington D.C au New York Marekani miaka yote anafanya vurugu kwa kuwa ardhi yake haiguswi hivyo haathiriki kiuchumi wala kijamii
  2. D

    Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

    Dunia haijawahi kuwa na usawa, haina usawa na haitatokea ikawa na usawa. Ni kila mmoja ajipambanie.
  3. D

    Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

    Kuna upumbavu mwingi ulikua unafanyika kwa makusudi kwa kuw wajinga wanaofany walijua faini ni ndogo watalipa na maish yanaendelea. Kuna timu imeshapigwa faini za kutosha kosa la makusudi kupitia geti lisiloruhusiwa. Hata hiyo Machi 7 walifanya ujinga wa makusudi kwa kuwa walijua udhaifu wa...
  4. D

    Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

    Hahaa haaaa sawa tutawalipeni. Sisi tuliandik barua moja tu kuwa hatuchezi. Ila ninyi naona karibia kila wiki mnakuja na press. So shikilieni msimamo wenu na nyie tuone mwisho wake.
  5. D

    Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

    Ndio tunasubiri na nyie tuone itakavyokua.
  6. D

    Mwalimu Nyerere alikuwa ana uwezo mdogo sana, ila jina limekuzwa na chawa wake

    Tangu Nyerere ametoka madarakani mpaka leo imepita takribani miaka 40 bado mnaendelea kumlalamikia tu ! Chukueni hatua kuboresh hayo mapungufu mnayoyaona.
  7. D

    SAND MIXER MACHINE

    Bei yake Inachanga mifuko kiasi gani ya simenti kwa wakati mmoja ?
  8. D

    Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

    Kuna ngazi tofauti za Uafisa Elimu na uteuzi wake 1. Afisa Elimu Kata - Mteuzi ni Katibu Tawala Mkoa (RAS) hapa mkuu wa Mkoa anaweza kuingilia fasta sana. 2. Afisa Elimu Taaluma,Takwimu,Watu wazima au Mkuu wa Idara mwenyewe-Mteuzi Katibu Mkuu. Je Mke wa Gambo alikua Afisa Elimu gani ? Kama ni...
  9. D

    Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

    Ndio maana wewe sio Rais wa Tanzania na kwa fikra hizo hauwezi kuwa. Umesahau ujinga mmoja, mwekezaji mmoja kwenye timu moja kudhamini timu nyingine zaidi ya 5 kwenye ligi ile ile. Aaah umesahau ujinga mwingine, klabu kuwa na wanasheria vilaza ambao hawashindi kesi.
  10. D

    Dakika 15, za nyongeza na Penati ya mchongo na bado tunajisifu Kuwa hii ni Ligi ya tano kwa ubora ?

    Karia ndiye aliwatuma mwashujaa wafanye upumbavu kwenye mchezo !
  11. D

    Mashujaa FC: Kupoteza Muda si Mbinu, ni Tiketi ya Kipigo!

    Kwamba wana simba wanafahamu nini. Ukweli ni kwamba mashujaa wamezingua wenyewe. Mchezaji anajua kabisa ana kadi ya njano bado anapoteza muda. Anategemea nini.
Back
Top Bottom