Recent content by Dine

  1. D

    Kutanda kwa Magugu maji Ziwa Victoria, Safari za majini zadorora, Nini faida na hasara ya Magugu maji?

    Je? Ww ni mkulima na umekuwa ukipata usumbufu wa kuhangaika na mbolea za viwandan kama dap can urea nk usitaabike tena jibu ni mbolea ya asili isiyo na kemikali ni nzuri kutumia katika mimea kama mahindi pamba mbogamboga maharagwe nk kazi ya mbolea hii ni kama ifuatavyo: 1.inaongeza uwezo...
  2. D

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    mbowe na mbatia ndio wameharibu misingi ya ukawa ndugu zangu mgen kaja nyumban kwako leo kesho unamkabidh madaraka ya juu unaacha waliokuwepo kabla
  3. D

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    cweze kamwe kwenda kwa hawa wanajiita walokole
  4. D

    Nahitaji kuanzisha biashara ila sina mtaji, Pride wanakopesha mtu binafsi?

    Habari zenu wapendwa nahtaji kuanzisha biashara ila cna hata chanzo sasa je pride wanakopesha mtu binafsi bila ya kuwa kikundi msaada kwa anayejua
  5. D

    Jamani nimefurahishwa na Pride Tanzania

    Naomba kufahamu iwapo pride wanatoa mikopo kwa mtu mmoja bila ya kujiunga kikundi
  6. D

    Nyeusi kuitwa nyekundu

    huo ndo ukwel mtupu wanapelekwa bila kujijua ka mazombi
  7. D

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    mtoto wangu anakohoa sana nimetumia dawa hakipon nitumie dawa gani
  8. D

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    na wala c jambo la kudharau kwan hauna mtot wala mkubwa na kwa uraian ndo utasema hakuna kwa maana kila umuonaye utasema yuko saf kumbe ana yake
  9. D

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    hata mm nashangaa wa2 weng hawajawah hata kupima ila wanatoa maneno ya ajabu pimen muwe huru na furaha kama n nilivyo jion njema
  10. D

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    Picha ya nn tena
  11. D

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya njema huwezi nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa pm na awe mkristo maana mimi ni mkristo.
  12. D

    Msaada juu ya HIV

    hata yy hakujijua ila baada ya vpimo ndo akafahamu na niliendelea kumpa msaada pale alipokwama
  13. D

    Msaada juu ya HIV

    Asanten kwa ushaur nilipima ilikuwa mwezi wa sita na hv kesho naenda tena nipime
  14. D

    Msaada juu ya HIV

    sasa mkuu unanipa pole nahtaji maelezo ya kina ili nikienda tena kupima niwe na jibu tayari
  15. D

    Msaada juu ya HIV

    Wadau habari zenu, Mimi nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambukizi na tayari tulishaduu naye na yeye tayari alishaanza kutumia ARV maana alikuwa na cd4 count 97. Mimi niliambiwa...
Back
Top Bottom