Recent content by DilmaLine

  1. DilmaLine

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nakupa 290,000
  2. DilmaLine

    Hivi special number inagharimu bei gani Halotel?

    𝓜𝓲 𝓷𝓲𝓶𝓮𝔁𝓲𝓹𝓪𝓽𝓪 𝓱𝓲𝔃𝓸 𝓷𝓪𝓶𝓫𝓪 𝔃𝓪𝓷𝓰𝓾 𝔃𝓮𝓷𝔂𝓮 𝓾𝓯𝓪𝓷𝓪𝓷𝓸 𝓶𝔀𝓲𝓼𝓱𝓸𝓷𝓲....𝓴𝔀𝓪 𝓫𝓮𝓲 𝔂𝓪 𝓴𝓪𝔀𝓪𝓲𝓭𝓪 𝔂𝓪 𝓴𝓾𝓼𝓪𝓳𝓲𝓵𝓲 𝓵𝓲𝓷𝓮
  3. DilmaLine

    Kazi: Anahitajika Web Developer

    Wasiliana na muhusika namba zake zipo hapo
  4. DilmaLine

    Kazi: Anahitajika Web Developer

    Anahitajika web developer haraka sana. Awe na uwezo wa kufanya coding from scratch ili atengeneze website ya chuo yenye muonekano kama hii hapa (bofya linki) https://www.bethel.edu/seminary/ Website ya pages si zaidi ya kumi Website iwe interactive yaani iwe na kipengele cha online application...
  5. DilmaLine

    Hivi special number inagharimu bei gani Halotel?

    Haina gharama yoyote zaidi ya gharama za kawaida za kusajili line. Nenda kwenye duka la mtandao husika sio kwa wale wanaosajili mitaani. Waeleze shida yako. Wao watangaalia kwenye system kama namba unayoitaka ipo utasajiliwa lakini pia inawezakana ukapata mfanano wa namba kadhaa na sio zote. Mi...
  6. DilmaLine

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Wacha Safari iendelee
  7. DilmaLine

    Serikali kuwatimua wapiga debe Ubungo tutegemee nini?

    YOU HAVE SPOKEN MY MIND.....SAFI SANA
  8. DilmaLine

    Nafasi za ajira kwa wasichana

    Wanahitajika mabinti wa kufanya usafi kwenye shirika. Umri usizidi miaka 30. Lazima awe mkazi wa Manispaa ya Morogoro. Kwa maelezo zaidi piga au tuma meseji 0652 626 342
  9. DilmaLine

    Baraza la wauguzi na wakunga Tanzania mpo wapi?

    Wana JF Nisaidieni kuwafikishia ujumbe huu wahusika Baraza/Shirikisho la wauguzi na wakunga Tanzania (TMNC)ni wiki ya pili sasa nimekua nikijaribu kuwafikia kupitia tovuti yenu. Lakini kila nikiifungua inaniletea maelezo haya HaCKeD By BK NF. kwa uelewa wangu mdogo wa mambo ya mtandaoni sina...
Back
Top Bottom