Recent content by DIKACY

  1. D

    Ndoa hizi!

    Mimi ni mkristu,nilifunga ndoa kanisani,nilipokua na ujauzito Wa motto Wa kwanza Mme wangu akapata mchepuko,baada ya mchepuko kusikia nimejifungua nayeye akabeba mimba,Mme wangu akawa amechanganyikiwa aishi name yupi kwa maana alisema hawezi kua na wake 2,Akaamua kuokoka ili Mungu amuonyeshe...
  2. D

    Msaada haraka

    Ndio tena kanisani RC.
  3. D

    Msaada haraka

    Asanteni sana kwa ushauri wenu,naomba wengine msome mada muielewe vizuri kabla ya kujibu chochote.
  4. D

    Msaada haraka

    Ndoa ya kanisani Roman Catholic
  5. D

    Msaada haraka

    Nimeolewa nina mtoto, Mume wangu kachepuka kampa mchepuko mimba,sasa kachanganyikiwa aishi na nani,kaanza kufunga na kusali ili Mungu amuonyeshe nani mke wake,kaenda Malawi kwa mchungaji Mmoja anaitwa Bushiri akamtabiria aachane na mke wa ndoa aende kwa mchepuko, Sasa hivi hapashikiki, jamaa...
  6. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Hawa watu ni matapeli,mdogo Wang aliomba na kuchaguliwa ile Mara ya kwanza lakini tumefatilia hadi kwa mwenyekiti wa Mwanza community Mr Kahungwa kasema bado hawajatangaza kazi na hizo ofisi wanazojifanya ni Zao ni uongo tumefatilia kote,tafuteni kazi sehem nyingine acheni kupoteza mda,Zhao...
  7. D

    Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

    Jamani sijamlaum TB Joshua,ndio maana nikasema jamaa alivyoenda nigeria hakuambiwa kt na TB Joshua,zaid ya kuombewa kwenye prayer line,sasa nan kasema TB Joshua mkosaji?nimeandika kuonyesha mtu alivyoenda kuombewa kwamba hakua serious na si kumsema vby TB JOSHUA,helewen mada.
  8. D

    Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

    Habari wapendwa,kuna kitu kinanikera mpaka nimeamua kuongea na inabidi tumuogope Mungu,kuna jamaa mmoja alioa akafukuza mke wake,badae akamrudia mke wake Mungu akawajalia mtoto mmoja,wakati huyo mke ana mimba jamaa akachepuka bahati mbaya mchepuko ukapata ujauzito,jamaa akachanganyikiwa kwa...
  9. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Gazetini zilitoka labda hukuziona kwa kua ni wavivu kuntnua magazeti.
  10. D

    Natafuta marafiki wa kiume

    Mimi ni she 32 yrs.
  11. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    nyie watu mnachekesha sana,hizo ofisi za mcb mnazodai mmeenda kuuliza ziko wapi wakati hii ni branch mpya hata haijaanza kufanya kazi?na ni bank ya mwanza haipo sehem nyingine?acheni kuvunka watu moyo na kujichanganya.
  12. D

    Natafuta marafiki wa kiume

    Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single.
  13. D

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    mwenye taarifa kuhusu mwanza community bank tafadhari,hawajaanza kuita watu kwenye interview?
  14. D

    kwa wanawake wenzangu naomba mnijibu swali hili

    angalia mzunguko wako niwa siku ngapi,gawanya mara 2 then toa siku mbili nyuma halafu halafu ongeza siku 2 mbele,kuanzia hizo siku 2 za nyuma mpaka hizo 2 za mbele ndio kipindi cha kupata mimba,mfano mzunguko wako ni siku 28,ukigawa kwa 2 unapata 14,ukitoa 2 unapata 12 ukiongeza 2 unapata...
  15. D

    Wanaume Wengi Wenye Umri Kuanzia Miaka 30 Wamezaa Kabla ya Kuoa

    samahani kama nitakua nimewakwaza wengine kwa nitakachoandika,kwanza kabisa hao watu wanaozaa ovyo ovyo sio makosa yao na tusiwalaumu na wanawake waelewa uwa wanakubali kulea hao watoto pindi wanapoambiwa ukweli toka mwanzo,hiyo ishu ya kuzaa bila mpangilio ,mara nyingi inatokana na familyback...
Back
Top Bottom