pole sana ila usikate tamaa mimi mwenyewe nilikuwa na C ya bilogy advance lakini sikuchaguliwa?? ninachokushauri jaribu kuomba kozi kama nursing,labaratory kwenye vyuo binafsi kama utaweza kulipia ila usithubutu kusomea kozi nje ya sayansi ajira ni ngumu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
backup katika computer in maana zifuatazo
1:ku copy data zako (user data ) kama unataka kufanyia repair au unahisi computer yako inataka ku-crash so unazikopi katika storage device nyingine au ku-copy data ulizozifanyia recovery
2:unaweza kufanya backup ya system(system settings and drives) so...
NI KOSA KWASABABU MAKAMPUNI YA SIMU/isp/INTERNET SERVICE PROVIDER YANAINGIA MKATABA NA MAKAMPUNI YA KUTENGENEZA MODEM MFANO AIRTEL WAPO NA HUAWEI,ZANTEL WAPO NA ZTEE SO UKI CRACK INAMAANA UMEINGILIA MIKATABA YAO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.