Za mida wadau, hii ni kwa watu ambao wapo vizuri kwenye kutengeneza websites pamoja na mobile apps, kwa upande wa pili kama kuna watu wanajua marketing vizuri nawakalibisha, naomba inbox namba yako ya simu na uwezo wako
Za mida wakuu, nimekua napata sana utata kuhusu Vibali vya ujenzi na bei zake, kama kuna mtu anafaham Naomba msaada hususani maeneo ya Kigamboni. Wtu wanasema bei ambazo sizielewi.
Wakuu za mida,
Heri ya sikukuu ingawa wengi wetu tupo ndani.
Dunia inaenda kwa kasi ya 6G till inatia huruma na wasiwasi.
Mayuda tumekua wengi na tukipata support ya kutosha isiyo ya kawaida.
Wakina Petro wanapingwa kwa mawe na matusi ya kutosha....
Inafika wakati hata JF mtu anaandika...
Kama kichwa hisika, nahitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitano, ila bajeti yangu kwa ajili ya ramani ni ndogo kama kuna mtu anaweza nisaidia kwa hiyo bajeti ambayo tunaweza negotiate karibu sana [emoji1488]
Mafanikio hayaji sehemu uliyozoea,
Mafanikio sio tabia za kila siku,
Mafanikio sio watu walewale kila siku,
Mafanikio ayachekei mtu,
Mafanikio ni ujasiri hata kama mbele unaona giza nene.
Mafanikio ni maamuzi magumu ambayo mda mwingine inakubidi ukosane na watu wakaribu sana na muhimu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.