Ha ha ha! Utakuwa hujui vitu vingi vunavyohusu Afya. Fuatilia idadi ya magonjwa yaliyopo Kanda ya ziwa, fuatilia idadi ya watu iliyopo Kanda ya ziwa harafu fuatilia idadi ya hospital au hospital za rufaa zilizopo Kanda ya ziwa. Utanielewa.....
Naitetea Kanda ya ziwa, naisemea ipate hospital...
Nilikuwa sijakusoma vzr hapa, kwamba kanda ya ziwa ni masikini mno, hiyo nasema hapana. Kanda ya ziwa watu si masikini kihivyo. Hata BoT mwaka huu mwanzoni wamesema kuwa Kanda ya ziwa ni Kanda ya pili baada ya pwani kwa kipato kizuri. Ninachoungana na wewe ni kiwango kidogo cha watu kuwa na...
Salamu waungwana. Napenda kuuliza, anayejua hali ya barabara ya kutoka Buswelu hadi Nyamhongolo kupitia Nyamadoke ilivyo aniambie. Mara ya mwisho nilisikia kuwa barabara hiyo kutoka Buswelu mbogamboga- Nyamadoke- Nyamhongolo inajengwa kwa kiwango cha Lami; je ni kweli imejengwa hivo ?
Kama...
Umetaja zaidi madhara au effect za sex. Ebu fafanua biologically jinsi sex inavyofika kwenye nafsi na kuwa chanzo cha matatizo. Kumbuka sex ni physical (biologically), kivipi iwe au ifike spiritual?
Umeeleza vzr sana. Kwa maneno mengine rahisi (tukianza na mwili) mwili ni hii body (housing) tunayoiona. Ambayo kiuhalisia imejaa sense organs na organs nyingine ndani kufanya mwili uwepo. (Kwenye mwili ulieleza vzr sana).
Soul ambayo ni roho, kiuhalisia ni Ile nishati iliyopo kwenye ubongo...
Habari Wana jamvi?
Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo kwa majiji mengine. Barabara ndani ya jiji la Mwanza ni ndogo, na za zamani.
Ukiangalia barabara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.