tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 566
Unajua any serious investor kitu cha kwanza kuangalia ni economic power ya watu, kwa lugha rahisi , kanda ya ziwa ina watu weye kipato cha ufanya hosipitali kaa hio nijenge kaa mimi ni muweezaji? mkuu kuwekeza katika sector ya afya, yaani kujenga hosipitali kubwa kule kanda ya ziwa ni hela mingi mno, ni makuni ya mamilioni ya dollar za marekani, kukiwa na utafiti wa kutosha kipato ni sawa, then kuinvest sio shida, lakini kwa maoni yangu, kanda ya ziwa ni masikini sana, watu wengi wana umasikini sana, kutokana na elimu duni ya watu wengi wa kanda la ziwa, wengi , wengi mno, ni wa darasa la 7