Recent content by Diesel generator

  1. Diesel generator

    Mambo niliyoyakuta Musoma yamenishangaza sana

    Huu mji ni wa watu wabishi! Hapa biashara zake ni China na Dubai direct.
  2. Diesel generator

    Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

    Ni vema malipo yafanyike benki katika account ya serekali. Sio kukusanya pesa kwa wana CCM.
  3. Diesel generator

    Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

    Huyu wangu hupendi chupi kabisa! Nilimuacha tu avae bukta.
  4. Diesel generator

    DAWASCO mnatunyanyasa sana

    Habarini mnaosoma ukulasa huu. Dawasco shida mnayotupatia ni kubwa sana. Maji yanatoka siku moja tu kwa mwezi! Eneo la Kinyerezi Zimbili kuna barabara ya lami inayotokea Kinyerezi darajani kwenda Gongo la Mboto. Inakuwaje maji yakitoka upande mmoja na upande wa pili haupati maji? Nina miezi...
  5. Diesel generator

    Tanzania tuwaige Korea kusini

    Kila kijana alifiwa 28 awe ni mtaalamu kwa Levi ya diploma kwa fan I mojawapo. Ndio huitaji la taifa sio watu wote wawe wanajeshi.nchi haina Anita ya kutosha!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Diesel generator

    Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Diesel generator

    Zijue mbinu anazozitumia Marekani kukandamiza nchi masikini ili aendelee kupora rasilimali zake

    Unaandika pumba. None sense. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Diesel generator

    Mjadala: Hivi kuna maana gani kuosha maiti?

    Mbona mengine umeluka, kumpigisha mswaki,kumkamua Mavi na kuchimba ufuo ndani mnamokamulia na kukifukia kinyesi humo. Ukieleza usibakize kwa faida ya wote. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Diesel generator

    Mjadala: Hivi kuna maana gani kuosha maiti?

    Kumuona ni taratibu wa ovyo tu ,ila kumkamua Mac I na kumpigisha mswaki ndio ulivyo uliokithili. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Diesel generator

    Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

    Huo ni mwanzo wa sinema tu , jamaa huanza hivi ila mwisho wa siku sinema itaishia the hague.tuwe wapole. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Diesel generator

    Video fupi: Kamati kuu CCM yasema: Mahali ambapo kuna mbunge wa CCM asibughudhiwe hata kama hafanyi vizuri

    Afanye vibaya asibugudhiwe! Trump anapugudhiwa sembuse hawa?. Hauwezi Jenga taifa la hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Diesel generator

    Tweet ya huyu mkenya inayomtangaza Mbwana Samatta kuwa ni mshambuliaji wa Kenya inaudhi na imejaa dharau kwa Taifa letu.. .

    Nilipokuwa Dubai miaka ya 2012 niligundua jambo lilionishangaza sana. Watu wengi ukiwambia unatoka africa wanakuuliza south africa? Nigeria or congo?. Unasema or no east africa, wengi ng'ambo ukisema east africa wanajua ni kenya!! Nilikuwa napata tabu kuwaelezea ni nchi tano. Tanzania wengi...
Back
Top Bottom