kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,636
Leo katika pita pita zangu maeneo ya Mapipa Magomeni, kuna gari la matangazo lilikuwa linatangaza kuwa; madereva wote wa magari hapa mjini ni lazima waudhulie kozi fupi Kilwa road polisi siku ya Jumamosi.
Bila ya cheti cha hiyo kozi hakuna dereva atakaye ruhusiwa kuendesha gari. Hivyo madereva mjitokeze, msije mkusumbuliwa huko mbele.
Bila ya cheti cha hiyo kozi hakuna dereva atakaye ruhusiwa kuendesha gari. Hivyo madereva mjitokeze, msije mkusumbuliwa huko mbele.