Recent content by DIDAS TUMAINI

  1. DIDAS TUMAINI

    Kwanini Iran imeshindwa kumlinda mshirika wake Hezbollah na Hamas?

    Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya Hezbollah, Hamas, Iran na vikosi vyote vya kishia duniani. Pia alikuwa ni kipenzi kikubwa cha Ayatollah...
  2. DIDAS TUMAINI

    Asili ya jina la msaidizi wa dereva kuitwa "Tandiboi"

    Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini. Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa funguo (ignition key/starter). Yaani yalikuwa yanawashwa kwa kuzungusha "hendeli" kwa mikono....😀...
  3. DIDAS TUMAINI

    Kushindwa kutembea kwa wanaanga baada ya kurudi duniani

    Kukosekana kwa mvutano wa ardhi (Gravity) nje ya dunia kunamaanisha mwili unapoteza nishati ya kujenga misuli inayohitajika kubeba uzito wa mtu, pia ubongo na masikio hupoteza balansi ya kumuweka sawa. Nje ya dunia hakuna kuhisi uzito, juu, au chini. Mikao yote mwili unahisi sawa hata kulala...
  4. DIDAS TUMAINI

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Kwann wasitengeneze za kwao? Kwanini wasinunue kwa kaka yao urusi au china? Wameweza kumudu gharama za drones inakuaje washindwe kwenye helicopter tena ya rais?
  5. DIDAS TUMAINI

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Ya zamani sana🤣🤣🤣.... wabongo bwana kila kitu wajuaji!
  6. DIDAS TUMAINI

    Historia ya Sanamu ya Askari (Askari Monument) iliyopo Posta, Dar es Salaam

    Picha cha ya kwanza ni mwamba wa kuitwa KAVIRONDO. Mwamba ndiye aliyepiga picha iliyotumika kutengeneza lile sanamu la posta. Jina lake 'kavirondo' limebeba asili ya makabila ya kibantu kutokea magharibi ya kenya (waluya na wakisii). Yaliyokuwa yakiishi katika utawala wa ukoloni wa mwingereza...
  7. DIDAS TUMAINI

    Nchi ya Dominican ndio nchi pekee duniani inayomruhusu mtu kutoa talaka bila kumpa taarifa mwenzi wake

    Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina. Miaka 20 baadae...
  8. DIDAS TUMAINI

    Referee Camera (RefCam)

    Mwamuzi wa ligi kuu ya nchini Uingereza, Jarred Gillett atakuwa mwamuzi wa kwanza wa Premier League kuvaa kamera ya video yenye kichwa wakati wa mchezo kati ya Crystal Palace na Manchester United usiku wa leo. Pia, Gillett atavaa kifaa kilichowekwa kichwani ambacho kimeunganishwa kwenye mfumo...
  9. DIDAS TUMAINI

    Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

    Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo, John Houlding, mfanyabiashara mkubwa wa Freemason kutoka jiji la...
  10. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa utofauti wake ni huu hapa, ungana nami Didas Tumaini nikujuze. ✅ England England au kwa kiswahili...
  11. DIDAS TUMAINI

    Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  12. DIDAS TUMAINI

    Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu wasiopungua 40 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia shambulio la bunduki kweye ukumbi mmoja karibu na Moscow, vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti. Watu wasiopungua wanne waliovalia nguo za kijeshi wamefyatua risasi kwenye ukumbi wa Crocus City uliopo Krasnogorsk. BBC imethibitisha video...
  13. DIDAS TUMAINI

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Radio maria inatosha
Back
Top Bottom