Habari wakuu.. ninaomba msaada kuhusu hizi Batholist Cyste
Nilifanyiwa operation mwezi wa 11 mwaka jana baada ya kuwa na vipele vigumu kwenye ukuta wa uke na vilinitokea kwenye shavu moja la uke.. na hata shepu ya uke ilibadilika coz lile shavu lenye viuvimbe lilikuwa lefu kuliko jingine.. wakaviondoa na miezi mi3 baada ya kupona nimeona kimeota kingine.
Daktar alinambia kuwa siwez pata ujauzito mpk nitolewe hvyo viuvimbe ndo nikaamua kutolewa kwa kufanyiwa operation.. sasa nashangaa mbona vimerudi ttena . Na nahitaji kushika ujauzito maana alinambia vkirudi sitaweza kubeba mimba. Je kuna tiba nyingine yeyote tofaut na operation . Msaada tutani