Recent content by Didas John Massawe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jenga na tofali imara za mwamba zinazokatwa kwenye Mawe (Rombo Kilimanjaro)

    Tofali Safi sana je! Moshi mjini itakuwa bei gani?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Enzi hizo wanawake walikuwa hawahesabiwi, hata mtu akiwa na watoto kumi tisa wanawake alikuwa anahesabiwa ana mtoto mmoja. Hivyo watoto wa kike walikuwepo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Iran: Baba wa ugaidi, Engineer wa Jihad, Mpotoshaji wa Waislam

    Amani ndio mpango mzima, kumbe mchawi ni iran adhibitiwe kufadhili hivi vikundi vya kihalifu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Naomba niwajulishe kuwa fumigation inatumika kwenye maghala ya chakula. Kudili na wadudu ni pest control na siyo ku fumigate.
  5. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Kunguni ni mdudu hatari sana, ana uwezo wa kutembea hadi kilometer mbili usiku kufuata damu. Akishapata damu anataga awe jike au dume wote wanataga Akishapata damu, ni vigumu mno kuwaangamiza, tafuteni watu wa pest control watawaelekeza namna ya kuwaangamiza
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

    Hayo yote uliyoandika ni ukweli usiopingika haya masuala ya 50/50 ndiyo yameleta mlezi mbovu. Baba akikemea kitu au kumuadhibu watoto mama anakuja juu. Na hapo baba akipotezea ndiyo familiainakuwa ya hovyo. Mama ndiye mwenye Sauti analea watoto wote kimayai. Hapo ndipo shida inapoanzia.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Very bad news eebwana Mungu nusuru Kizazi hiki. hii ni balaa kubwa hapa duniani
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

    Wanawake hawana akili kama wanaume ila ni werevu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanatuuzia asali kwenye tende

    Tende hata dodoma zipo kweli nimekula na zina ukakasi. Lakini hizi za kutoka nje ni industrial prossed. Wanachanganya na sukari au ASALI.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Bata Bukini wenye miezi 8 wakiwa wamepatiwa chanjo zote

    Amekosea jina siyo bata maji ni bata Bukini chotara
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kweli wa tajiri ni masikini

    Ni kweli kabisa. Kwa sababu ili simba aishi lazima swala aliwe. Na si kosa simba kula swala. Naomba nisamehewe kama nimetumia lugha isiyo ridhisha. Lakini tujue dunia ni kama pori. Mungu awabariki wote. Huruma ipate kutamalaki.
Back
Top Bottom