hapo nahic kunaweza kuna sabab kama mbili...moja huo ubunifu uko mzur una mashiko na pili...nafasi hyo angechukua mwanamke isingevutia sana coz hayo matangazo yapo kama comedy
hayo mabom umeyapiga ww? kwan nimeshinda mtaa wa kongo tokea asubuh cjackia k2 kama hicho.jesh haliitaji simple demonstration kama hzo to send a sms,ni neno moja tu nchi inakuwa chini yao
mm naona hyo idea ni nzur.ukiangalia ufaulu nchini umeshuka,w2 walio mtaani ni wengi sana so kugawa bodaboda itachangia ongezeko la ajira.kwa case ya ajal ni jukumu la kila m2.kutokuwa makini kwa madereva isiwe sababu ya kutofanya maendeleo.ckatai kwamba ajal nying sasa hv ni kwa sababu ya boda...
nafasi nzuri sana.kila anaemaliza chuo huwa na malengo makubwa ila mtaji unakuwa tatizo kubwa.sasa kwa plan kama hii inakuwa easy way 2 sucess.watz wanashida moja 2 ambayo ni kushirikiana.team work imekuwa tatizo kubwa,w2 wanataka kuchomoka peke yao hawajui makampuni meng yaliyoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.