Recent content by DICKSON NEHEMIA

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya siasa yameanza kuwa magumu nawaombeni ushauri!

    kipindi unaanza siasa ulimuuliza nani?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana mnaopenda siasa za vyama

    Ndo mwisho wa mawazo yako wamevuruga amani wapi kuna mtu anakuuliza maswali juu ya unavyoishi au familia yako acha ushabiki mkuu usio na tija mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Mimi nafikiri ifike hatua tu watu tupime vitu au tukio katika mitazamo inayokubalika hususani kiyakinifu na na sio kidhanifu unaposema ccm au police wamehusika katika tukio hilo tafsri inakuja ulikuwapo wakati wa tukio linatokea au u-miongoni mwao Kingine wanasiasa waache kupotosha watu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa CHADEMA Arusha, Kufanya Maandamano wakiwa Uchi

    kuwa kichwa si lazima uokote makopona kula vyakula jalalani Kwa hiyo si ajabu kwani watakuwa wameamua kulaani vizazi vyao na wafanye tu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutoa tamko zito Jumamosi katika Ufunguzi wa Kampeni Jijini la Arusha

    tamko zito litakusaidia nini wewe na familia uliyopo mkoa mwingine au unataka kwenda kuandamana na bado yatazungumzwa mengi Hapa kazi tu
  6. D

    JamiiForums Tanzania CCM wakumbukeni wasanii walioshiriki kampeni

    mungu akuhurumie tu sababu haujui ulifanyalo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    toa yako moyoni nawewe usikike mwakyembe oyeeeee
  8. D

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano: Shauri nini kifanyike katika kuboresha Elimu

    usipinge wazo la mwenzio toa lako kila kitu unapinga ww ni nani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Martine Luther juu ya marais wenye upara/baldin/uwaraza

    kazi kuleta uchonganishi tu huna jipya
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hii kali sasa: Shule ya kwanza kitaifa matokeo darasa la saba imetokea Geita!

    wewe ullitaka shule ya kwanza itoke mkoa gani? kazi unafiki na uzambiki usio na tija fanya yanayo kuhusu na kama hauliziki na matokeo ya mtihani nenda mahakamani bac
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waziri awa Rais huko Tanzania akiwa bado waziri

    wanao weka vipingamizi juu ya magufuli wanayao moyoni si bure
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Dr.HARSON MWAKYEMBE anastahili cheo hicho
  13. D

    JamiiForums Tanzania Usichague UKAWA, Usimchague Lowassa, Chagua CCM, Chagua Magufuli, Chagua Amani

    Hiyo nayo kali ukitaka kujua uchungu wa limau onja kwanza
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mambo yameiva Arumeru Mangharibi. Ole Meiseyeki aipoteza CCM leo kwenye ufunguzi wa matawi

    Na huo ni mtazamo tu kitu cha kuzingatia ni kwamba si kila anayekushangilia anauwezo wa kukupigia kura
Back
Top Bottom