CCM wakumbukeni wasanii walioshiriki kampeni

CCM wakumbukeni wasanii walioshiriki kampeni

walikuwa wanafanya kazi kama vibarua na pesa zao walikuwa wanalipwa siku wanayofanya tamasha.

wameliwa maana hii ni zamu ya mafundi na c vibarua.
 
Waliokuwa upande wa huyu mheshimiwa hawana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya wananchi. Bali Wanauwezo wa kuimba, kucheza, kurembua, kuvaa nusu uchi, kwa ufupi hawajitambui ktk maswala ya msingi. So wataisoma namba!
 
Back
Top Bottom