Recent content by Dickson Majita

  1. Dickson Majita

    Nataka kuacha kazi niwe mjasiriamali, naombeni ushauri

    Hofu ya kujiajiri ni kubwa na ndiyo maana kila wasomi wanataķa kuajiliwa na Serikali. Kikubwa ni kujiamini na kusimamia malengo yako.Fanya tathimini yako kwa kina, hangalia uzowefu wako kwa uwo Mradi wako mpya wa kujiajiri na huindae familia yako kiakili na kimazingira ili iweze kukubaliana...
  2. Dickson Majita

    Ni sawa kwa Mchungaji Kumiliki BASTOLA au BUNDUKI kwa ajili ya ULINZI?

    Ulinzi wa mungu unatosha labda kama imani yake ni ndogo.
  3. Dickson Majita

    Taarifa Rasmi ya Tetemeko la Ardhi Tanzania Kwenye Web ya Geological Survey of Tanzania! .

    Mimi kila siku nasikia utabiri wa hali ya hewa na taarifa zikitoka kwa wataalam wetu. Vipi utabiri wa tetemeko la ardhi au ni tukio linakuja ghafla bila taadhari yoyote?
  4. Dickson Majita

    Tushare app za live TV katka smartphone

    Mimi bado sielewi,Nianzie wapi.
  5. Dickson Majita

    Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

    Kuna sayari mpya imegundulika na inafanana kwa kila kitu na Dunia yetu,Hakuna hofu wengine watakwenda kuishi huko.
  6. Dickson Majita

    Manji aanza kuihujumu Yanga

    Yanga tumerudi na tupo sawa kabisa,Haya umeanza tena majungu yenu na wa mchangani watabaki kuwa wamchangani tu.
  7. Dickson Majita

    Hisabati iwe lazima kwa Wanasheria!

    Hebu tuacheni mambo ya kisiasa hoja za msingi zinapoletwa mbele yetu.
  8. Dickson Majita

    Mvua iliyonyesha Togo ni muujiza, au kisayansi imekaaje?

    Niliichunguza hiyo picha kwa makini, lakini ilinipa Shaka kama kweli yale maji yalikuwa ni mvua na badala yake niliona kama yale maji yalikuwa yanatoka chini ya ardhi kwa presure kubwa na kwenda hewani na tukio lenyewe lina Muda kidogo.
  9. Dickson Majita

    Atiwa mbaroni kwa kushangilia mauaji ya polisi Mbande

    Kwa jinsi tunavyoendelea ipo haja ya Watanzania tukaanza kuchunguzana uraia wetu,kwa hali ilivyo inaonekana kuna mamuruki wa Kitanzania.Kwa mtanzania ninaemfahamu mimi si rahisi kushangilia kifo cha mwenzako hata kama ulikuwa haumpendi.
  10. Dickson Majita

    80% ya mahakimu wana English mbaya, inatusumbua sana tukisoma

    Hivi lugha ya kiswahili ikitumika kwenye mahakama zetu Kuna tatizo gani. Na hao wanaofungwa na hizo mahakama zetu hiyo lugha kiingereza wanaijua.
Back
Top Bottom