Recent content by Dickson Liverpool

  1. D

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za Kujikimu

    Ndugu hiyo ni pesa ambayo utalipwa wakati umesahau kama unaidai,focus kwenye mambo mengine
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta softcopy ya katiba ya chama cha walimu Tanzania (CWT)

    Naomba aliye na katiba ya Chama Cha walimu Tanzania (CWT) soft copy anisaidie
  3. D

    JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu Kwa ajira mpya

  4. D

    JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu Kwa ajira mpya

    Hii kanuni mbona IPO wazi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu Kwa ajira mpya

  6. D

    JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu Kwa ajira mpya

    Je, mtumishi wa ajira mpya KADA ya ualimu na afya anapaswa kulipwa posho ya kujikimu kwa siku 7 au 14 Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za utumishi wa umma?
  7. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watumishi Ajira Mpya (Sikonge na Rombo) hatujalipwa Fedha za Kujikimu, tunapigwa danadana

    Soma standing order(2009) kifungu L.16 ndipo utajua siyo hisani IPO kisheria
  8. D

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Furahia Sana,Cheka Sana ndugu maana naona hii hukumu imekufurahisha sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mke mtarajiwa anatafutwa

    Ndg nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano was Tanzania. Kama tamisemi au watu wanaohusika na tamisemi naomba mnipe ufafanuzi juu ya posho ya kujikimu kwa watumishi was ajira mpya, ukisoma standing order kifungu L.6 kinatamka posho italipwa ya siku 14 lakini halmashauri nyingi nchini...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    We umesema kufikia 2040 nchi itakuwa mbali sana,mtazamo wangu upo wazi kama taifa Lina miaka 60 ya uhuru Hali ya uchumi Bado tia maji itawezekana vipi miaka 17 kuanzia Sasa uchumi uimarike kisa kuhamia Dodoma.Bila shaka Tunahitaji miujiza Katika hilo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Hatuwezi kufanana namna ya kufikiri,siwezi kutoa maoni kupitia uwezo wako wa kupambanua mambo.Agree to disagree
  12. D

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Itakuwa mbali Kwa umaskini uliokithiri
Back
Top Bottom